Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Tumefanyaje mkuu?Wanawake wa Dar!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumefanyaje mkuu?Wanawake wa Dar!
Wengi sana. Karibia nusu ya members humuUmeonana na watu wangapi humu ndani mkuu....
Umepata honeyHilo tu bby
Ukipata muda Njoo private ntakueleza.Tumefanyaje mkuu?
Sawa nitakujaUkipata muda Njoo private ntakueleza.
Sitaki kuamini kuwa humu wanaume hamna madorali eti?
Hahahah mbona mimi najua kuna watu wanapesa na madorali lakini napata malalamiko kuwa hamna pesaa?
Hebu watokeee member wa5 wa kiume wanithibitishie muamala kwenye account yangu ya bank leooo niamini kweli Jf kuna matajiri wengi na hamna mbwembwe.
Najua wale wenye maneno mengi hata hawamiliki Account za Benki hata chapchap ya NMB hawana.
Leo tunapinga kwa vitendo siyo maneno jamani mimi siwezi kuwasifia mna madorali wakati hata sina uthibitisho wa muamala wa madorali.
Msipothibitisha basi wanaume wa Jf ni makapuku sitaki kuamini na nyie mnakubali hamna helaa aiseee hebu nikomesheni kwa kunitumia madorali ili watu wajue matajiri mapedesheee yapo Jf.
Najua matajiri wapo wengi Jf muwe na jumapili njema hakika msipothibitisha kuanzia leo wanaume wote wa Jf ni makapuku kasoro mganga wangu Jr.
Hamuna namna huyu hataki mang'ombe.Kama kagoma wewe lipeleke tu mzee!
Hata leo ikiwezekana anza safari kwenda mnadani
Tunamteka na hana pa kuripoti!..Hahahahaha, wewe mwache tu!
Huyu akija huku kanda ya Ziwa hawezi kuondoka.
Nimeweka hadi ng'ombe wa urithi tunda liliwe!. usichezee Apple ati!..🙂
kwakweli " achana na apple mkuu sio kitu ya mchezo" mugabe alitaka kuhonga nchi kwaajili ya hiyo kituNimeweka hadi ng'ombe wa urithi tunda liliwe!. usichezee Apple ati!..🙂
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sitaki kuamini kuwa humu wanaume hamna madorali eti?
Hahahah mbona mimi najua kuna watu wanapesa na madorali lakini napata malalamiko kuwa hamna pesaa?
Hebu watokeee member wa5 wa kiume wanithibitishie muamala kwenye account yangu ya bank leooo niamini kweli Jf kuna matajiri wengi na hamna mbwembwe.
Najua wale wenye maneno mengi hata hawamiliki Account za Benki hata chapchap ya NMB hawana.
Leo tunapinga kwa vitendo siyo maneno jamani mimi siwezi kuwasifia mna madorali wakati hata sina uthibitisho wa muamala wa madorali.
Msipothibitisha basi wanaume wa Jf ni makapuku sitaki kuamini na nyie mnakubali hamna helaa aiseee hebu nikomesheni kwa kunitumia madorali ili watu wajue matajiri mapedesheee yapo Jf.
Najua matajiri wapo wengi Jf muwe na jumapili njema hakika msipothibitisha kuanzia leo wanaume wote wa Jf ni makapuku kasoro mganga wangu Jr.
[emoji15] [emoji3] za chuma uleteMshana wako kwani anazo ?
Watu wasionijua wanapata tabu sana[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji3] [emoji38]bae njoo hapa temeke uchukue na ATM card kabisa, achana na huyo jamaa wa matunguli
[emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Fanyen maneuver na mganga wako mkaibe BANK
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji115]Hana hata shilingi anatumia freebasics na facebook ya bure