CHA The GREAT
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 651
- 854
Wewe nawe ni walewale wa "Nitumie Pesa Kwenye Namba HII".... dawa yako inaiva jikoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao wana hela sisi wazuri ngoma droo.. [emoji2] [emoji2]
Sisi uzuri tu wao pesa na ndio tunachopenda[emoji6][emoji6]Wao wana hela sisi wazuri ngoma droo.. [emoji2] [emoji2]
Na hii ofa hata Mzigua90 inamhusu au achague wa kumsaidia!.Jana hiyo,
Mimi na Wick tulikuwa tunafanya kikao kuhusu mkakati wa kuanza kuhonga.
Siku hizi hatutakuwa na maneno mengi sana, wewe unaweka picha yako ya A4 halafu sisi tunakutumia noti.
Huyo Karumanzira tutamuendea Wakanda (Gamboshi) tunamlia chake hata Chalinze ila yeye asichomoke nje ya Msata!.Likarumanzira linaweza kutusha mshipa mzee
Engineer Kalumanzira si jina lake huyo!..Hahahha mme wangu kwann mnamuita hivyo lakini khaaaaaa
Mimi ni Kapuku Grade A ila ikitokea chance ya kukuiba kwa G ntaenda kopa bank nikuchomoe!.. 🙂
Wick!!Na hii ofa hata Mzigua90 inamhusu au achague wa kumsaidia!.
Huyo Karumanzira tutamuendea Wakanda (Gamboshi) tunamlia chake hata Chalinze ila yeye asichomoke nje ya Msata!.
Wick ulivyo na akili nyingi we sio kapuku "i swear to God"Mimi ni Kapuku Grade A ila ikitokea chance ya kukuiba kwa G ntaenda kopa bank nikuchomoe!.. 🙂
Unataka mgawane eeehMdogo wangu mm nauliza tu mpaka sasa umetumiwa sh ngapi?
Yes Mama SabrinaWick!!
[emoji23] Hivi kuna mwenye akili ana hela, wote tunakuaga makapuku basi tu ni mabingwa kujivimbisha!..Wick ulivyo na akili nyingi we sio kapuku "i swear to God"
Hata ikiwaje itokee nini kwa G siwezi chomoka jamaa ana gia kali sana ni bonge la bwana kuanzia muonekano hadi account yake [emoji6][emoji6][emoji12]
Anavyonidekeza sasa haaaa sichomoki
Hata mimi najua ni chitchat Demiss ndio maana nikaandika hivyo dadaHii ni chitchat wewe ndo unajiabishaa
Kwahiyo hakuna mahela yaliyoingiaYani hapa nimeishiwa kupewa promise
NdiwoooUnataka mgawane eeeh