Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Wewe nawe ni walewale wa "Nitumie Pesa Kwenye Namba HII".... dawa yako inaiva jikoni.
 
Kwa utamu upi utakaonipa kwingine sijawai pata! Sealed hauna, sasa dolari ya nini?

Labda mtandao pendwa.
 
Jana hiyo,
Mimi na Wick tulikuwa tunafanya kikao kuhusu mkakati wa kuanza kuhonga.
Siku hizi hatutakuwa na maneno mengi sana, wewe unaweka picha yako ya A4 halafu sisi tunakutumia noti.
Na hii ofa hata Mzigua90 inamhusu au achague wa kumsaidia!.
Likarumanzira linaweza kutusha mshipa mzee
Huyo Karumanzira tutamuendea Wakanda (Gamboshi) tunamlia chake hata Chalinze ila yeye asichomoke nje ya Msata!.
 
Mtapata tabu sana awamu hii. "No pussy...No penny"
 
Mimi ni Kapuku Grade A ila ikitokea chance ya kukuiba kwa G ntaenda kopa bank nikuchomoe!.. 🙂
Wick ulivyo na akili nyingi we sio kapuku "i swear to God"
Hata ikiwaje itokee nini kwa G siwezi chomoka jamaa ana gia kali sana ni bonge la bwana kuanzia muonekano hadi account yake [emoji6][emoji6][emoji12]
Anavyonidekeza sasa haaaa sichomoki
 
Wick ulivyo na akili nyingi we sio kapuku "i swear to God"
Hata ikiwaje itokee nini kwa G siwezi chomoka jamaa ana gia kali sana ni bonge la bwana kuanzia muonekano hadi account yake [emoji6][emoji6][emoji12]
Anavyonidekeza sasa haaaa sichomoki
[emoji23] Hivi kuna mwenye akili ana hela, wote tunakuaga makapuku basi tu ni mabingwa kujivimbisha!..
Eti ipi bora kojozwa umepanda phoenix au usikojozwe utembelee Passo 🙂
 
Back
Top Bottom