Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Inafaa sana babe au kale ka Sienta ili ujihudumie mafuta mwenyewe, unajua me sipendi mtu aniombe vihela vya mboga naanza muona mzigo!.. Nisije kuchoka bure!.
Kila unapofanya Apollo mission!..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi naweza kusema kila kitu ila sjawah kufanikiwa kutaja kiwango cha fedha niliyonayo sjui nina matatizo gani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi naweza kusema kila kitu ila sjawah kufanikiwa kutaja kiwango cha fedha niliyonayo sjui nina matatizo gani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna MTU anaweza kusema kiwango cha fedha alichonacho iwe bank accounts ,ktk wallet au kwenye simu? Tena humu JF ?
 
Back
Top Bottom