Eti nyiee, Inakuaje matajiri wa JF wanaomba ajira za TAMISEMI?

Nilichogundua hapa JF.
-Karibu 80% tuna maisha duni sana
-Karibu 19% wana maisha ya kati.
-Sio zaidi ya 1% ndio wana maisha bora (na huwa hawajisemi wala kuwapondea wengine)
Watanzania wengi sana wanaishi kwa CHUKI inayosababishwa na WIVU Mkali.

Wengi wanaficha ficha hili kwasababu Wana DNA ya UNAFIKI.

Nakuthibitishia hili, Hakuna watu wanaoongoza kuchukiwa na watu kama wale wenye kipato fulani, aidha MTUMISHI au Mfanyabiashara mwenye vipesa fulani.

Na Kama kungekuwa na Chama Cha siasa ambacho sera yake Ni kudhibiti Watumishi na Wafanyabiashara, basi kingepata wafuasi wengi sana.

Unakuta jitu linaponda kazi fulani mbaya na hailipi, kumbe lenyewe linaitaka hiyo kazi.
 
Yani mtu analipwa M+ halafu agombee mshahara wa laki sa sababu hasa ni nini?
 
Jamiiforums ina watumiaji wengi sana, wanaoponda siyo wanaohangaika kutafuta ajira
 
Hata yule tapeli alotapeli elfu 20 ya mwanafunzi alipondea passo ya mtu kumbe apeche alolo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukisikia watu wanavyotupondea walimu humu utafikiri wao mamilionea kumbe "unanionea" wenzangu tu[emoji1787]
JF kila mtu Yuko juu, me nawazoom tu
 
Kuna mwamba namuonaga kule garage anazarau magari ya watu, leo alikuwa analalama haoni kozi yake kwenye system, anyway labda anamsaidi jirani ku apply.
Itakuwa anamsaidia ndugu yake
 
Ni kweli kabisa
 
Jamiiforums ina watumiaji wengi sana, wanaoponda siyo wanaohangaika kutafuta ajira
Kuna mmoja alisema ""Ye anaendesha ofisi ya baba ake, na Kuna demu alimpenda yeye kwasababu ya good looking na kufanyia Kazi ofisi ya baba ake, demu akajilengesha na kwenda kuliwa kimasiharaaa""

Ila katoa post kwamba ""Haoni course yake kwenye application then anaomba Msaada...!!!!""

#YNWA
 
[emoji23]
 
Kuna mwamba namuonaga kule garage anazarau magari ya watu, leo alikuwa analalama haoni kozi yake kwenye system, anyway labda anamsaidi jirani ku apply.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Jeiefuu banaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…