Eti nyiee, Inakuaje matajiri wa JF wanaomba ajira za TAMISEMI?

Kweli aisee.
 
Ajira za polisi zilitoka lini wakati Mbowe anashikiliwa?
 
Binafsi nishakutana physically na wanajf kadhaa.maisha ya kawaida tu,kuna wengine humu tena mademu ambao kila uzi huwakosi ila wana njaa hatari.wanapiga vizinga hadi ela ya kununua umeme.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila we kyagata una mdomo ww
 
Tunawasaidia wadogo zetu kutuma maombi ya kazi
Sasa mbona maswali ya ""Matatizo ya mfumo huwa mnajibu personal""

Utasikia Course Yangu siioni?
Mbona email yangu haikubali?
Mbona chuo changu hakionekani?

Sasa una apply kwa ajili ya mdogo wako hiyo YANGU ni ya nani?

#YNWA
 
Naona wanajifanya Uzi hawauoni[emoji23]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Humu ndani tajiri wa uhakika ni Kiduku Lilo tu. Kwake Lamborghini ni kwaajili ya shamba boy na house girl.
 
Sasa mbona maswali ya ""Matatizo ya mfumo huwa mnajibu personal""

Utasikia Course Yangu siioni?
Mbona email yangu haikubali?
Mbona chuo changu hakionekani?

Sasa una apply kwa ajili ya mdogo wako hiyo YANGU ni ya nani?

#YNWA
Ishu inakuja unaona hakuna haja ya kuanza kusema 'mbona Email ya huyu dogo nayemuombea inazingua' au 'mbona chuo cha huyu dogo nayemuombea hakipo' ww mwenyewe lazima uone uvivu wa kuandika maneno mengi kwahy n bora uende kwa ufupi mana kuomba kazi flan sio aibu wala dhambi
 
Naona wanajifanya Uzi hawauoni[emoji23]
Wapo kwenye magari yao, yamepaki nje ya magheto yao makali, huku wanapesa mingi kwenye walet, wakielekea kula pisi kaliii kimasihara..!!!

#YNWA
 
Hayo ni maisha ya mtandaoni wakihitaji msaada kwa ajili ya real life wapeni tu wazungu wenyewe wanakuambia fake it untill you make it real😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…