Eti nyiee, Inakuaje matajiri wa JF wanaomba ajira za TAMISEMI?

Kuna mwamba namuonaga kule garage anazarau magari ya watu, leo alikuwa analalama haoni kozi yake kwenye system, anyway labda anamsaidi jirani ku apply.
We acha tu wakiskia una IST sasa watakucheka mpaka basi. Utadhani wana miliki Range
 
🤣🤣🤣shida tunaziacha nyumbani hapa ni raha tu
 
Hata yule tapeli alotapeli elfu 20 ya mwanafunzi alipondea passo ya mtu kumbe apeche alolo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukisikia watu wanavyotupondea walimu humu utafikiri wao mamilionea kumbe "unanionea" wenzangu tu[emoji1787]
Ukisikia mtu anaponda gari ya mwenzake basi ujur huyo mtu hajawahi kununua gari( sio kumiliki gari) Maana mtu anaweza kumiliki ya kupewa.
 
Yani mtu analipwa M+ halafu agombee mshahara wa laki sa sababu hasa ni nini?
Unalipwa milion LKn ni mkataba wa Miaka miwil miwil au mmoja mmoja kila mwaka urenew kutegemea performancë Yako, si bora uptae laki saba ya milele jombi
 
Humu ndani usipotumia akili utaelewa mambo kinyume na hali halisi.

Unadhani kila anaesema haendi logde chini ya 50k anamaanisha? Au kila anaeomba ajira hana ajira?

Kuna watu humu wanapokea zaidi ya mishahara miwili kwa mwezi. Halafu na kuna wale, akina sisi hata vocha mpaka tupige vizinga.

Humu ni pakukaa kitaalamu sana mkuu!
 
Mkuu,acha kabisa nimekuja kugundua jf ina watu wa ovyooo tena wamejawa na shida yaani maisha yao ni magumu sana,rejea kesi za utapeli
 
Hata yule tapeli alotapeli elfu 20 ya mwanafunzi alipondea passo ya mtu kumbe apeche alolo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukisikia watu wanavyotupondea walimu humu utafikiri wao mamilionea kumbe "unanionea" wenzangu tu[emoji1787]
Nadhani ni tabia ya watanzania kupenda kudharau kitu ikiwa wao hawana hicho kitu,juzi nilipita salooni moja nkaoshe nywele zangu bwana basi wakawa wanendelea na story zao mara nkasikia jamani mwisho wa mwezi mshahara umetoka ila walimu watakuwa wameshamaliza hela tiyari,wakaongezea yaani ile kazi ya kijinga,mmh nkawauliza kwani walimu wanalipwa sh ngapi wakasema si laki tano?nkasema laki tano mbona siyo haba maana watu wengi hapa mjini wanaingiza hela kidogo na wanaishi vizuri iweje hao wa laki tano(nkatoa mfano kuna watu wanafanya kazi viwandani hela yao ni ndogo mbona wanaishi)mi sikuwazingatia nkaondoka zangu basi baada ya siku mbili nkaenda suka nywele pale
Story zao,yaani maisha magumu huyu mtoto nataka nimrudishe kwa baba yake
Mwingine naye akadakia huyu mwezi wa sita anarudi kijijini
Mda kidogo nkasikia we fulani(binti yake) hiyo chai ndo mpaka jioni
Nkasema nyie saloon mbona mna hela sana maana nasikia walimu ndo hawana hela,wakaanza yaani acha tu maisha haya ni magumu kwanza kila siku upo kazini,mara hiki mara kile,ndo nkasema binadamu huwezi kuwaelewa kamwe
Kikubwa sijawahi kumdharau mtu
 
Nimecheka pia lakini mda mwingine wako sahihi uwe maskini mtaani na uwe maskini mtandaoni haiwezekani,ni sawa na mtu kupost picha ambayo siyo nzuri hicho kitu hakiwezekani
 
Amen.
UMEMALIZA kila kitu.

#YNWA
 
Noma hasaaa.

#YNWA
 
huwez jua lamda wana michongo mingine hapa wanataka waingie tu kwenye system [emoji31][emoji31]
 
Yaani binadamu!!🙌🙌
 
Hata yule tapeli alotapeli elfu 20 ya mwanafunzi alipondea passo ya mtu kumbe apeche alolo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukisikia watu wanavyotupondea walimu humu utafikiri wao mamilionea kumbe "unanionea" wenzangu tu[emoji1787]
Don't care them mommy, they're just idiots.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…