Sitaki kuamini kwamba MamaSamia2025 yuko nyuma ya mpango wa hiki kinachoendelea.
Ninafahamu kwamba MamaSamia2025 ni MTU mwenye dhamira safi licha ya kwamba watu walipotekwa alisema ni vijidrama na Mzee Kibao alipouawa na watu wanaodaiwa ni Polisi, akawapa Polisi haohao KAZI ya kujichunguza na mpaka hawajaja na majibu wala MamaSamia2025 hataki kufuatilia uchunguzi umefika wapi?
Huyu kiumbe aliyekatwa Jana, huko Mbinga, ni mpakwa mafuta wa Bwana, msimdhuru, wala msimbambikizie kesi yoyote. Kufanya hivyo ni kujiweka kwenye hatari kubwa, kwani kumchokoza Mpakwa Mafuta wa Bwana ni sawa na kuichezea mboni ya jicho la Mungu mwenyewe.
MamaSamia2025 , tunafahamu kwamba wewe ni mbobevu wa maswala ya kidemokrasia, huyu Tundu Lissu asikutishe kitu, hata akikishinda ni kwamba yeye alizaliwa ili ashinde, nenda naye kidogo kidogo. Kwa mamlaka iliyokuwa ndani yako, waamuru Polisi kumwachia mara moja bila masharti yoyote.
Kuhusu NO REFORM NO ELECTION, wala isikukondeshe, maboresho hayo ni kwa faida ya sisi wananchi wote bila kujalisha chama, dini wala kabila la MTU yeyote.
Kwa leo niishie hapo, lakini kaa ukijia huyo jamaa si MTU wa kawaida, ana roho ya Mungu ndani yake inayomuwezeshaga ku survive hata akipigwa na bomu, nini risasi?
Tundu Lissu AACHIWE BILA MASHARTI YOYOTE NA ASIBAMBIKIZIWE KESI YA UHAINI KAMA MLIVYOPANGA
Biblia inasema usimuache mwanamke mchawi kuishi.Heri dikteta mwanaume kuliko dikteta mwanamke.
Mungu atatuamulia huu ugomvi soonBiblia inasema usimuache mwanamke mchawi kuishi.
Acha propaganda weye,kwa nguvu gani alizonazo hadi achome vituo,haya ni yale yale ya propaganda za m pox!!!Ila chadema walikuwa wanataka kufika h7ku tulipo Leo, binafsi n8lihudhuria kikao Cha ndani alichofanya LISSU mkoa Fulani.
Mjumbe aliuliza endapo serikali ikaendelea na maandalizi ya uchaguzi Hadi ukafanyika tufanyeje? Tha guy akajibu tutachoma moto vituo vya kupigia kura na ofisi za serikali kwakuwa vipo katika maeneo yetu. Pia aliwataka wananchi kukinukisha( kufanya fujo)
Hivi Sasa kama wewe ndo jamhuri utamruhusu mtu apite kuhamasisha watu kufanya uvinjifu wa amani?
Au ni vile walitaka wakamatwe Ili movement izidi kutrend?
SureMungu atatuamulia huu ugomvi soon
Kutoka 22:18 “Usimwache mwanamke mchawi kuishi.Mungu atatuamulia huu ugomvi soon
Heri dikteta mwanaume kuliko dikteta mwanamke.
Mmh anyway japo sikuwepo ,ila siamini km Lisu anaweza jibu hivi!Ila chadema walikuwa wanataka kufika h7ku tulipo Leo, binafsi n8lihudhuria kikao Cha ndani alichofanya LISSU mkoa Fulani.
Mjumbe aliuliza endapo serikali ikaendelea na maandalizi ya uchaguzi Hadi ukafanyika tufanyeje? Tha guy akajibu tutachoma moto vituo vya kupigia kura na ofisi za serikali kwakuwa vipo katika maeneo yetu. Pia aliwataka wananchi kukinukisha( kufanya fujo)
Hivi Sasa kama wewe ndo jamhuri utamruhusu mtu apite kuhamasisha watu kufanya uvinjifu wa amani?
Au ni vile walitaka wakamatwe Ili movement izidi kutrend?
Mungu muumba wa Mbingu na nchi atakuja kulitekeleza agizo lake hili muda mchache ujaoKutoka 22:18 “Usimwache mwanamke mchawi kuishi.
Unadhani tunaweza kutumia mbinu gani kupata reforms?Ila chadema walikuwa wanataka kufika h7ku tulipo Leo, binafsi n8lihudhuria kikao Cha ndani alichofanya LISSU mkoa Fulani.