Eti "Siye tunaingia Mpaka Ndani Kukagua Mahabusu/Magereza" - Mwenyezi Mungu anawaona Mawakili wa Serikali

Wabaya sana watu hao!
 
Jaji kiongozi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali.
Je akiwa mhimili wa mahakama alikuwa anawajibika kwa mhimili upi.
Au kutii
 
Ni upumbavu tu kujisahau kwamba wanaona wataishi milele ipo siku wataoza na kunuka tabia ya maskini yeyote ni roho mbaya
 
Wanamuweka jaji kwenye wakati mgumu wa kutoa maamuzi.
Na mbaya zaidi Tiganga anawaogopa. Hii ni hatari sana kama ndo mahakama zetu zimefikia hapa. Jana wamefika mahakamani saa 6 wanafanya wanavyotaka wao utadhani ni miungu watu. Pumbafu kabisa.
 
Wale ni washamba Kama washamba wengine ,ila Serikali ndo imeifikisha mahakama ilipo,

Yani hata nidham mbele ya jaji hawana, na jaji anawaangalia tu wanatoa mpaka maneno ya ovyo kabisa,wao ni taharabu tu kutaja vifungu hamna kitu, wako pale Sana

Eti ukisha kua wakili wa jamhuri ni PAMOJA na Mahakama,ebo kwamba hawaelewi ukiwa mbele ya mahakama Mawakili wote ni sawa,?

Sasa mchezo walioanza kuonesha mazalau mpaka kuchamba mama zetu ,na jaji yupo Kimia ,siku Mawakili wa utetezi wakianza tumia maneno makali tusisikie mtu ananyanyua mdomo, Ili Hali jaji ameshindwa kukemea leo


By the way hii kesi imekua kubwa kuliko uwezo wa jaji bora nae asome alama za nyakati ajitoe asisubili kukataliwa
 
Kumbe!
 
Naomba mwenye picha za hawa mawakili wa Serikali kwenye kesi hii atuwekee tuwajue hawa maadui.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, wale ni Mawakili wa serikali. Sasa unataka wafanye kazi ipi zaidi ya kuendesha mashitaka.
Katika taaluma ya uwakili, Mbowe na wenzie ni wateja wa akina Kibatala. Akina Kidando, mteja wao ni Jamhuri.
Katika kesi hiyo unatarajia akina Kidando waache kusimamia maslahi ya mteja wao kwenye hiyo kesi?
Taaluma ya sheria kitu GANI? Wale Ni empty , Kuna misingi mtu najenga bila kujali ni mwanasheria au la unaona hamna kitu,
 
Maisha ya duniani ni vita tu always, ukilegea inakula kwako
 
Mkuu nalitambua ilo Wala sikupingi KWa lolote ,swala hapa wabishane KWa hoja za kisheria si kuleta mazalau na maneno yasiofaa Mbele ya mahakama ,mpaka kuchamba mama zetu ,tuna sema ipo mifano utaitoa kulingana na wapi upo ,mingine unaweza kuiacha lingana na mazingira uliopo , ndo utaratibu wa kitz

Mfano ipo sehema unaweza naenda kunya na ipo sehem utasema naenda jisaidia simple

Hawa Sasa wamelewa sifa wanazopewa na wakina kingai , na Tim yote ya watesi ,wajinga sana
 

Roho zao bora ibilisi
 
Maisha ya duniani ni vita tu always, ukilegea inakula kwako
Kweli kabisa, Unaweza ukapigana vita vyako vizuri ila baadaye watoto na wajukuu wako wakapigwa ile mbaya! Mahita Junior tunamwona, na umri wake yule sijui atastaafuje? Amwombe Mungu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…