Wale ni washamba Kama washamba wengine ,ila Serikali ndo imeifikisha mahakama ilipo,
Yani hata nidham mbele ya jaji hawana, na jaji anawaangalia tu wanatoa mpaka maneno ya ovyo kabisa,wao ni taharabu tu kutaja vifungu hamna kitu, wako pale Sana
Eti ukisha kua wakili wa jamhuri ni PAMOJA na Mahakama,ebo kwamba hawaelewi ukiwa mbele ya mahakama Mawakili wote ni sawa,?
Sasa mchezo walioanza kuonesha mazalau mpaka kuchamba mama zetu ,na jaji yupo Kimia ,siku Mawakili wa utetezi wakianza tumia maneno makali tusisikie mtu ananyanyua mdomo, Ili Hali jaji ameshindwa kukemea leo
By the way hii kesi imekua kubwa kuliko uwezo wa jaji bora nae asome alama za nyakati ajitoe asisubili kukataliwa