Kama ulishajenga unajua mziki.wake hiyo.Ile wingi wa zege na nondo ni shida au sio?
Nilijenga carnopy ya aina hii mbele na nyuma. Ni gharama kidogo
Isipomimininwa vizuri inavuja, inaharibu kuta na kuozesha kenchi na dariGharama bwana kenopi ni shida sana.
Kwenye Dali haifiki, sema ikianza kuvuja unagonga unaweka tena sementi.Isipomimininwa vizuri inavuja, inaharibu kuta na kuozesha kenchi na dari
ni kweli, na the more iwe imara the more mzigo unaenda.Hiyo kenopu ni sawa na chukka kimoja cha kulala yanini sasa hizo gharama
Best verandah
ila Ujiandae kwa gharama za nondo, ah inakula nondo aiseeeh!
na upate fundi anayejua kuzisuka nawe usiwe bahili wa mzigo utakaoacha hapa!
Ila ujenzi shikamoo!