hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Asee
ahahahahha karibu sana!Ni kweli usemacho. Halafu mkuu ile ramani yako uliyoichora kwa mkono roughly, niliielewa sana. Nitakutafuta unipe madini mawili matatu as per your experience. Pia namna ya kudizaini classy garden na miti ya vivuli (ulirecommend midodoma). I always read you. 😊
Gharama alafu baada ya muda maji yanaingia ndani
Hizi ni design za ulaya au uarabuni. Kwetu vibaka utawakuta sebuleni kila siku. Grill zipo wapi?
Kaka umepotea...Nilijenga carnopy ya aina hii mbele na nyuma. Ni gharama kidogo
zinawekwa fresh tu!Hizi ni design za ulaya au uarabuni. Kwetu vibaka utawakuta sebuleni kila siku. Grill zipo wapi?
Kaka nitarudi ila everything is just cool kabisa.Kaka umepotea...
Tunasubiri mrejesho wa mahakama
kayanda01 tuishi humu!
Hii iko mwake , mchoraji wa hii ramani ametoka nje ya box hajataka kuiga mtu!
Sasa na we unaweza kuweka ngazi za chuma pemben kutumia hiyo terrace juu nondo zako za slub zisiende bure!
Inakuwa ushaitoa kivingine!
Nitumie hiyo ramani na mie nijikongojeahahahahha karibu sana!