Eti wakuu mbona miundo ya aina hii ya valenda watu hawaitengenezi tena, ni issue ya gharama au ni mabadiriko ya trend?

Best verandah
ila Ujiandae kwa gharama za nondo, ah inakula nondo aiseeeh!
na upate fundi anayejua kuzisuka nawe usiwe bahili wa mzigo utakaoacha hapa!
Ila ujenzi shikamoo!
 
Hiyo kenopu ni sawa na chukka kimoja cha kulala yanini sasa hizo gharama
ni kweli, na the more iwe imara the more mzigo unaenda.
Mi nilimua kuifanya iwe na matumizi , so kapata verandah mbili, ya juu na chini
Although nikajipa gharama nyingine ya kusuka nondo za ngazi pembeni ya veranda ya chini ili kuunganisha na hiyo nayotaka itumike kama verandah nyingine juu.
Ah
 
Best verandah
ila Ujiandae kwa gharama za nondo, ah inakula nondo aiseeeh!
na upate fundi anayejua kuzisuka nawe usiwe bahili wa mzigo utakaoacha hapa!
Ila ujenzi shikamoo!

Ni kweli usemacho. Halafu mkuu ile ramani yako uliyoichora kwa mkono roughly, niliielewa sana. Nitakutafuta unipe madini mawili matatu as per your experience. Pia namna ya kudizaini classy garden na miti ya vivuli (ulirecommend midodoma). I always read you. 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…