Eti wakuu mbona miundo ya aina hii ya valenda watu hawaitengenezi tena, ni issue ya gharama au ni mabadiriko ya trend?

ahahahahha karibu sana!
 
Wakuu, kati ya nyumba hizo mbili (kwenye video Vs kwenye still pictures), ipi kali kwa muonekano mzuri wa kisasa?

Madam snowhite tia neno hapa mkuu.
ngoja nitazitizama uzuri af nikuongezee vitu au tupunguze vingine as per your preference
 
kayanda01 tuishi humu!
Hii iko mwake , mchoraji wa hii ramani ametoka nje ya box hajataka kuiga mtu!
Sasa na we unaweza kuweka ngazi za chuma pemben kutumia hiyo terrace juu nondo zako za slub zisiende bure!
Inakuwa ushaitoa kivingine!

Shukrani sana madam snowhite. Una moyo wa kitajiri. Hauna uchoyo kushare taarifa maarifa na uzoefu. Much Blessings lovely mom. 🙏🏾

Tutaishi humo mkuu. Iko makini. Huo mjengo umenyooka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…