Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni kufokewa kweli?๐Ÿค”

Sio anafoka lengo lake ni majirani wajue kuwa yupo salama na mumewe ni kidume anayejitambua anafundisha majirani Kwa njia ya sauti wawasisitize waume zao kutumia zana๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Ngoja na yeye siku aje condom imebaki kwenye papuchi tuone utakavyompongeza
Ataambiwa "ungerudi nayo kwenye mkoba hapo sawa kwa sababu Mimi sikurudi nayo nikiwa nimevaa bali mfukoni". Ndoa za Bora liende hizi๐Ÿคฃ
 
aisee huyu ajengewe sanamu kabisa huyu na mola amjalie hitaji la moyo wake
Ameen . Wanawake wenye busara kama huyu walikuwa wengi enzi za babu zetu sahivi ni wachache mno

Wanawake wa sahivi wanataka kushindana na wanaume . Unyago uingizwe kwenye Mitala ya elimu
 
Ameen . Wanawake wenye busara kama huyu walikuwa wengi enzi za babu zetu sahivi ni wachache mno

Wanawake wa sahivi wanataka kushindana na wanaume . Unyago uingizwe kwenye Mitala ya elimu
kabisa kiongozi. hawa watu baadhi yao wabinafsi sana utafikiri wao ndo wamewaumba hao waume walionao๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Exactly..sometimes kuna vitu negative kwenye ndoa haipaswi kuviongelea japo vinaumiza ..unapoviongelea ndo inazidi kuwa tatizo.
Sisi wanawake tuna makelele ila huwa hayatusaidiagi chochote


The earlier you accept, the less chest pains you'll have
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ