Eti wanaume utamwoa mtu mwenye tatoo? Na wadada je utaolewa na mwanaume mwenye tatoo

Eti wanaume utamwoa mtu mwenye tatoo? Na wadada je utaolewa na mwanaume mwenye tatoo

MysweetL

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
314
Reaction score
340
Je ukimpenda mtu ukajua anatatoo na nibaada ya kumtolea posa utafanyaje ? Na mwanamke umeshatolewa poswa na mwanaume ukaja jua yule aliyekuposa anatatoo utamkubali akuoe?
 
Inategemea na hio tattoo imechorwa wap na inamanisha nn??...inafutika ama vp,u may need to forget the past in order to see the future. Sometimes the future is dictated by the past. Akili kichwani.

Sent using Redmi7
 
Je ukimpenda mtu ukajua anatatoo na nibaada ya kumtolea posa utafanyaje ? Na mwanamke umeshatolewa poswa na mwanaume ukaja jua yule aliyekuposa anatatoo utamkubali akuoe?
Kama tattoo nilimchora mimi sawa au kama alichorwa na mwanamke tena nikijua kuwa anachorwa hapo sawa. Pia inategemea hiyo tatoo inasaje, ni nini na iko wapi!
 
Si wote wanaochora ni wahuni. Wengine ni watu safi kabisa. Tatop kwao ni kama urembo au kumbukumbu fulani.
So itategemea na mtu ulie nae anaonyesha mwenendo upi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatoo mi kwangu pambo kama ilivyo piko tu mwanaume hata ajichafue mwili mzima habari sina kama nimekuzimikia
Hata mie ila kwa wakaka wakiona kwa mwanamke dah wanaleta shida
 
Mimi huwa nashangaa tatoo kwakweli...hata nikiona mwanaume kachora nashangaa Sana...KUNAWENGINE WAMECHORA Kuna muda naonaga Kama uchafu..

But I like cute tattoos here and there.mfano a cute [emoji257] roseflower au something cute...japo binasfi sijawai fikiria kuchora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke mwenye tatoo kwa matazamo wangu ni kahaba tu kwa hiyo sahau kuhusu kumwoa, siwezi hata kutumia wakati wa faragha pamoja naye.
Tattoo kama hizi
048facfb6101eb2e3e5535b274e4351c.jpg
 
Back
Top Bottom