Eti wanaume utamwoa mtu mwenye tatoo? Na wadada je utaolewa na mwanaume mwenye tatoo

Eti wanaume utamwoa mtu mwenye tatoo? Na wadada je utaolewa na mwanaume mwenye tatoo

Inategemea na hio tattoo imechorwa wap na inamanisha nn??...inafutika ama vp,u may need to forget the past in order to see the future. Sometimes the future is dictated by the past. Akili kichwani.

Sent using Redmi7
Mfano unakuta ana Tatoo imeandikwa "Love Joseph" na kipicha kidogo cha moyo iko kifuani na ukimuuliza anakwambia ilikua ni mpenzi wake wa zamani na mbaya zaidi haifutiki...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takwimu zinasema kua watu wengi huamini kua mtu mwenye tattoo ana uzoefu katika ngono kuliko ambaye hana tattoo.

Surprisingly, uzoefu kwenye ngono siyo kigezo cha kuhalalisha ndoa.
 
Hilo hata sipingi mkuu, maana mazingira, mitazamo binafsi, wakati, tamaduni nk. vinaamua ni nini tupende na nini tusipende. Hivyo wanaovutiwa wako sahihi na sisi tusiovutiwa nasi tuko sahihi pia, kila mmoja kwa upande wake.
Wale wanaochora ina nao vipi?
 
Kuna kadem nilikua nakapenda Sana Ila tattoo zake zimefanya Hadi Leo niendelee kula kwa macho tu japo nampenda Ila zile tatoo nikiziona naona kabsa Kuna indicator inawaka kichwani kuonyesha kwamba niondoke eneo la tukio ili kuepusha tendo la kimasihara
 
Back
Top Bottom