Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,845
Hahahaha dah
Hahahaha dah
Tattoo kama hiziView attachment 1417168
Anadeal na nini hapa duniani?Anaitwa monami frost
Ukienda naomba ubebe kila kinachokuhusu kwangu.🤗Hahahaha dah
AnanyonyeshaSasa hapo bra ya nn?[emoji23][emoji23]
Siendi aisee maana hil ibiti si kitotoUkienda naomba ubebe kila kinachokuhusu kwangu.[emoji847]
Youtube na ni one of the most successful tatoo modelAnadeal na nini hapa duniani?
Tattoo ni machukizo kwa MolaTattoo kama hiziView attachment 1417168
Ukifatilia hayo utakuta kila kitu ni chukizo kwa molaTattoo ni machukizo kwa Mola
Ni kweli mpenziUkifatilia hayo utakuta kila kitu ni chukizo kwa mola
Kwa hiyo wewe hufuatilii kabisa?Ukifatilia hayo utakuta kila kitu ni chukizo kwa mola
Ya tatto sifatilii yesKwa hiyo wewe hufuatilii kabisa?
Hina sio tatizo kwangu hii ni kwa sababu msingi wa upakaji hina ni tofauti na ya uchoraji tatoo. Hina ni urembo uliokaa kistaarabu na unakubalika na jamii ilhali tatoo zimebebwa na tabia za kisasa zenye element za uhuni ndani yake.Wale wanaochora ina nao vipi?