Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba wanawake nao Ni waraibu wa porn videos [emoji23]Masikin porn na video za ngono zinawaharibu wanawake....sio wanaume Tena ......
Ni Nini kwani?Ngono sio chakula
Ha ha ha wasikupe presha hao viumbe ishi uwezavyo kula vizuri tumia nguvu ulizoumbwa nazoMkuu Mimi Ni rijali naweza kumudu mpaka round 5 aisee😂
Wanaume wa zaman ndio Hawa Hawa wa Sasa ila kinachowaharubu wanawake wa sasa ni picha na movie za ngono ....
Zaman hapakiwa na hizo picha na movie za porn ,hivyo basi wazee wetu walikuwa wakifanya mapenzi na wake zao bila kulinganishwa na kitu chochote ...
Saizi wanawake asilimia 80 Wana simu za smartphone na wanaangalia picha za hovyo ,zile video wanazoangalia wanataka wanaume wao wawafanyie vile vile ,bila kujua ile ni fake video +madawa .....
Wanaume wasipofanya hivyo wanaanza kusema hawana nguvu za kiume kumbe wao ndio washaadhirika psychologically na hizo video...
Hili tatizo kinazidi kuja Kwa Kasi Sana ,na hakuna namna ya kulitatua zaidi ya mtu binafsi kujitambua ....
Huwezi Kuta wanawake wa vijijin wanasema mambo ya nguvu za kiume ,Kwa sababu hawana kitu cha kulinganishwa na wanaume zao ...hivyo basi wanavofanywa wanaona ni sahihi .....
ila Hawa magume gume wa mjini wanaoshinda TikTok kuangalia video za kila namna,matako na porn lazima watake mambo ya kwenye movie wakati wako live na maisha .....
Hilo ni jangaaa wenyewe wanajiteteaga eti wanawake ndo wanasababisha...hii i hatari sana wanaume mkae vikao[emoji16] yaan unapiz hata hujaingiza dyudyu?? Unasingizia hisia kali, unapiga viwili tena havina hata dakika 10 unakojoa!!! Aisee mbadilishe life style zenu jamani...Viumbe hai tunafanana tabia.
Sex ni kwa ajili ya reproductions. Zingine mbwembwe tu.
Tazama viumbe hai wengine kama wanyama pori, mbwa, ng'ombe, paka je huwa wanachukua muda gani kwenye tendo na huwa wanapigana mabao mangapi ?
Uanaume sio kula papuchi saa lizima.
Uanaume ni ukakamavu, ubishi, kugangamala kutimiza jukumu la kuhudumia na kutatua matatizo ya familia yako na jamii nzima. Na kuongoza jamii yako kwa usahihi.
Ulikuwa unafunga kamba za viatu karibu yao au uliharibikiwa mnyororo wa baiskeli.Hata hivyo,ni njia njema ya kuufikisha ujumbe.Mwanaume ni kazi!Mkuu nilikuwa napita tu Wala sikuongea nao chochote 😂
hahahahaUnawaskiliza hao mashetani
Ulikuwa unafunga kamba za viatu karibu yao au uliharibikiwa mnyororo wa baiskeli.Hata hivyo,ni njia njema ya kuufikisha ujumbe.Mwanaume ni kazi!
Sawa,sijakataa.Lakini,ndiyo upite tuuu hadi mazungumzo ya dakika tano yaishe?Au ulikuwa unawapaka rangi za kucha na kuwauzia urembo?Nilikuwa napita tu mkuu😂
Itabidi wanaume tuandae kikao tuzungumzie Hili kwa mapanaHilo ni jangaaa wenyewe wanajiteteaga eti wanawake ndo wanasababisha...hii i hatari sana wanaume mkae vikao[emoji16] yaan unapiz hata hujaingiza dyudyu?? Unasingizia hisia kali, unapiga viwili tena havina hata dakika 10 unakojoa!!! Aisee mbadilishe life style zenu jamani...
Au sio[emoji23]Usiwasikilize malaya
Kweli kbsa mkuuWanawake wengi hisia zimekimbia wanaanza haya mambo wadogo pili vidonge vya kuzuia mimba we utafanya mpaka usiku wa manane anakusikilizia kwa sbb hisia zao hazipo tena. We piga shoo yako moja tulia
Well saidKuna kitu bado hujawahi kukiexperience kwenye sex. Mwanaume kuungurumisha bao nyingi inategemea sana na mvuto wa mwanamke. Kuna wanawake Wana natural power ya mvuto yaani ukiangusha bao Moja hamu ya nyingine inapanda. Unaweza hata kuachia Kadhaa. Kuna wengine uliachia Moja tu utaki Tena unakinai na kujilaumu why nyingi. Tusiwalaumu wanaume tu, performance ya mwanaume inategemea na K. K nyingine zina sugu ya masterbation unatengemea Mwanaume ataperform vizuri. Wanawake waliofundwa hawataki vidole nitumie huko kwenye K. K rafiki yake ndo anahusika tu.