Eti wanaume wengi wataozea jela Kama Hili zoezi likifanyika

Waaslam wakuu!

Nguvu za kiume miongoni mwa wanaume wengi zimekuwa donda sugu na kadri siku zinavyoendelea kusonga ndivyo nguvu zenyewe zinaendelea kupungua Tena kwa Kasi ya 5G.

Wanawake wengi walioko ndoani na wale ambao bado hawajaolewa wamekuwa wakililalamikia Hili suala na kwa kusema wanaume wa ckuiz wamekuwa legelege Sana kitandani Yaani hawapigi show za kibabe.
Kwamba wanaume wa siku hizi Ni wa Dali kimoko na wakijitahidi Sana viwili,Tena hicho cha pili wanakipata kea mbinde Sana😂

Sasa juzikati nilipita sehemu nikawasikia wanawake wakiliongelea Hili suala la upungufu wa nguvu za kiume miongoni mwa wanaume wengi.
Sasa nikamsikia mwanamke mmoja akiwaambia wenzie eti Kuna zoezi Moja tu ambalo likijaribiwa kwa wanaume wote kuhusiana na hii ishu ya nguvu za kiume Basi bila Shaka wanaume wengi watafeli.Wenzie wakacheka wakamuuliza kwani zoezi gani Hilo analozungumzia.

Akasema Kama vipi wanaume wote wachukuliwe wapelekwe jela Ili kupima nguvu zao za kiume.
Yaani wanaume wote wawekwe nyuma ya nondo alafu kila mwanaume apewe mwanamke mmoja afanye naye mapenzi kwa kigezo Cha kufika mishindo mitatu ndo ataachiwa huru😂.
Yaani hapo alikuwa anamaanisha eti Kama mwanaume hatoweza kufika mishindo mitatu katika tendo la ngono Basi aendelee kufungwa jela mpaka ile siku atatusua hizo round 3 ndo ataachiwa huru.

Huyo bidada akawapia wenzie kwamba kwa jinsi wanaume wa ckuy walivyo mayai mayai kitandani Ni asilimia ndogo Sana ya wanaume watakaoweza kumudu hiyo mishindo 3 iliyowekwa Kama kigezo😂
Akasema yeye anaamini Ni asilimia 20 pekee ya wanaume ( marijali) ndo watashinda Hilo zoezi na asilimia 80 ya wanaume waliobaki wataozea jela coz hataweza kumudu hicho kigezo kilichowekwa.

Sasa nimefika ndani nikakaa chini nikalitafakari hili suala la kuhusiana na nguvu za kiume ndo nikaamua kuleta huu Uzi tuambizane ukweli Kama Ni kweli wanaume tumekumbwa na upungufu wa nguvu za kiume ama Hawa wanawake wanatutafutia vijisababu vya kuchepuka.

Maisha ya ckuiz yamebana Sana na wanaume wengi siku zote wapo mbioni kumhudumia familia zao,kwa hiyo stress,uchovu na mambo mengine yanaweza kuchangia katika upungufu wa nguvu za kiume bt licha ya hayo yote sidhani Kama Kuna mwanaume hapa JF anayeweza shindwa kufika mishindo mitatu katika tendo la ndoa/sex.

I hereby rest my case.
Dada mkubwa kabisa Aaliyyah 😂😂😂😂
 
Pole sana kama huwa unawasikiliza wanawake...hao ukiwazingatia unaweza ukajikuta umekuwa shoga yao..we kamata kojoa baada ya hapo mbelee hiyo akutafute yeye asipokutafuta kamata ingine kojoa..mi nakojoaga tu mwingine goli moja,mwingine mawili halafu sijali potelea pote na pisi zinanielewa kama kawa
 
Viumbe hai tunafanana tabia.

Sex ni kwa ajili ya reproductions. Zingine mbwembwe tu.

Tazama viumbe hai wengine kama wanyama pori, mbwa, ng'ombe, paka je huwa wanachukua muda gani kwenye tendo na huwa wanapigana mabao mangapi ?

Uanaume sio kula papuchi saa lizima.
Nakumbuka juzi nikiwa huko mkoani nilishuhudia Beberu likimpanda mbuzi jike siku nzima.

Kila likimaliza linashuka linapiga kelele na kisha linampanda tena.
 
Pole sana kama huwa unawasikiliza wanawake...hao ukiwazingatia unaweza ukajikuta umekuwa shoga yao..we kamata kojoa baada ya hapo mbelee hiyo akutafute yeye asipokutafuta kamata ingine kojoa..mi nakojoaga tu mwingine goli moja,mwingine mawili halafu sijali potelea pote na pisi zinanielewa kama kawa
[emoji23][emoji23]
 
Ukielewa maana ya refractory period hauwezi kusema mtu ana matatizo ya nguvu ya kiume.

Upungufu wa nguvu za kiume na uwezo wa kupiga bao tatu ni vitu viwili tafauti.

Ukishapiga bao kuna kitu kinaitwa refractory period ,ni muda ambao "Dudu la Yuyu" linaamka na kuanza tena shughuli ,RP inategemea mtu na mtu ,wengine dakika 5 ,wengine 15,wengine 30,wengine 60 ,wengine 90 ,wengin 120 ,wengine 4hrs,wengine 24hrs etc,

Upungufu wa nguvu za kiume ni kuwa na uume legelege ,kusinyaa ndani ya uke ,kuchukua muda mrefu kunyanyuka etc lakini uume unanyanyuka halafu ndani ya dakika umepiga bao then unachukua muda mwingine kutafuta la pili depends on your Refractory perios hiyo siyo upungufu wa nguvu za kiume.
 
Nimekuelewa Sana mkuu
 
Waende Mars wakatormbweee na MA ALIEN wanaume wa Duniani hatutawaweza.

Sasa mtu ashazoea kushinda na Dildo zaidi ya masaa mawili huyo kweli ataridhishwa na binadamu labda PUNDA.
 
Waaslam wakuu!

Nguvu za kiume miongoni mwa wanaume wengi zimekuwa donda sugu na kadri siku zinavyoendelea kusonga ndivyo nguvu zenyewe zinaendelea kupungua Tena kwa Kasi ya 5G.

Wanawake wengi walioko ndoani na wale ambao bado hawajaolewa wamekuwa wakililalamikia Hili suala na kwa kusema wanaume wa ckuiz wamekuwa legelege Sana kitandani Yaani hawapigi show za kibabe.
Kwamba wanaume wa siku hizi Ni wa Dali kimoko na wakijitahidi Sana viwili,Tena hicho cha pili wanakipata kea mbinde Sana[emoji23]

Sasa juzikati nilipita sehemu nikawasikia wanawake wakiliongelea Hili suala la upungufu wa nguvu za kiume miongoni mwa wanaume wengi.
Sasa nikamsikia mwanamke mmoja akiwaambia wenzie eti Kuna zoezi Moja tu ambalo likijaribiwa kwa wanaume wote kuhusiana na hii ishu ya nguvu za kiume Basi bila Shaka wanaume wengi watafeli.Wenzie wakacheka wakamuuliza kwani zoezi gani Hilo analozungumzia.

Akasema Kama vipi wanaume wote wachukuliwe wapelekwe jela Ili kupima nguvu zao za kiume.
Yaani wanaume wote wawekwe nyuma ya nondo alafu kila mwanaume apewe mwanamke mmoja afanye naye mapenzi kwa kigezo Cha kufika mishindo mitatu ndo ataachiwa huru[emoji23].
Yaani hapo alikuwa anamaanisha eti Kama mwanaume hatoweza kufika mishindo mitatu katika tendo la ngono Basi aendelee kufungwa jela mpaka ile siku atatusua hizo round 3 ndo ataachiwa huru.

Huyo bidada akawapia wenzie kwamba kwa jinsi wanaume wa ckuy walivyo mayai mayai kitandani Ni asilimia ndogo Sana ya wanaume watakaoweza kumudu hiyo mishindo 3 iliyowekwa Kama kigezo[emoji23]
Akasema yeye anaamini Ni asilimia 20 pekee ya wanaume ( marijali) ndo watashinda Hilo zoezi na asilimia 80 ya wanaume waliobaki wataozea jela coz hataweza kumudu hicho kigezo kilichowekwa.

Sasa nimefika ndani nikakaa chini nikalitafakari hili suala la kuhusiana na nguvu za kiume ndo nikaamua kuleta huu Uzi tuambizane ukweli Kama Ni kweli wanaume tumekumbwa na upungufu wa nguvu za kiume ama Hawa wanawake wanatutafutia vijisababu vya kuchepuka.

Maisha ya ckuiz yamebana Sana na wanaume wengi siku zote wapo mbioni kumhudumia familia zao,kwa hiyo stress,uchovu na mambo mengine yanaweza kuchangia katika upungufu wa nguvu za kiume bt licha ya hayo yote sidhani Kama Kuna mwanaume hapa JF anayeweza shindwa kufika mishindo mitatu katika tendo la ndoa/sex.

I hereby rest my case.
Acha kukaa kwenye vikao vya kina mama
 
Wanaume wa zaman ndio Hawa Hawa wa Sasa ila kinachowaharubu wanawake wa sasa ni picha na movie za ngono ....

Zaman hapakiwa na hizo picha na movie za porn ,hivyo basi wazee wetu walikuwa wakifanya mapenzi na wake zao bila kulinganishwa na kitu chochote ...

Saizi wanawake asilimia 80 Wana simu za smartphone na wanaangalia picha za hovyo ,zile video wanazoangalia wanataka wanaume wao wawafanyie vile vile ,bila kujua ile ni fake video +madawa .....

Wanaume wasipofanya hivyo wanaanza kusema hawana nguvu za kiume kumbe wao ndio washaadhirika psychologically na hizo video...

Hili tatizo kinazidi kuja Kwa Kasi Sana ,na hakuna namna ya kulitatua zaidi ya mtu binafsi kujitambua ....

Huwezi Kuta wanawake wa vijijin wanasema mambo ya nguvu za kiume ,Kwa sababu hawana kitu cha kulinganishwa na wanaume zao ...hivyo basi wanavofanywa wanaona ni sahihi .....

ila Hawa magume gume wa mjini wanaoshinda TikTok kuangalia video za kila namna,matako na porn lazima watake mambo ya kwenye movie wakati wako live na maisha .....
Ndio maana wanaliwa [emoji344][emoji344]
 
Back
Top Bottom