Eti Wema mzuri zaidi kumzidi Zari?

Naona kama kuna tofauti ya uzuri na urembo. Wema ni mzuri, zari mrembo ila mimi Ni mzuri kushinda wema. raha jipe mwenyewe wazuri tupo wengi ila hao ni maarufu.
 
Umesema point kweli zinachosha pia. Comparison nzuri ingekua ni wote kulingana kiumri kuwa wote na watoto watatu, biashara, na kila kitu hizo nyingine minor case tu Zari ni Zari ana nafasi yake uzuri wake na ubovu wake, the same to Wema.

Hii ni sawa na Mwanamke aliyeolewa kujikinganisha na Mama mkwe wake...Yaan huwa nakereka sema basi tu mtu anawatoto watatu bado mnalinganisha tu.Haya linganisheni Rose muhando na Khadija kopa.
 
Naona kama kuna tofauti ya uzuri na urembo. Wema ni mzuri, zari mrembo ila mimi Ni mzuri kushinda wema. raha jipe mwenyewe wazuri tupo wengi ila hao ni maarufu.

Umeona eeeh?Wazuri wapo wengi tena kuwazidi hao basi tu hawajulikani.
Nilitaka kuongeza neno lakini basi tu.
 
Hii ni sawa na Mwanamke aliyeolewa kujikinganisha na Mama mkwe wake...Yaan huwa nakereka sema basi tu mtu anawatoto watatu bado mnalinganisha tu.Haya linganisheni Rose muhando na Khadija kopa.

Hahahahaaa Sir jj umenichekeshaa sana ujue?
 
Last edited by a moderator:
Wema mzur jaman zari wa kawaida tuu....
Hata Zari angekua na umri kama wa wema bado angekalishwa sema tuu ni mama ake wema kasoro
 
Kula like 1000 kuna wa2 wakiskia haya maneno yko povu litawatoka m2 hana hata biashara y genge ila kila kukicha kelele 2 umri nao unaenda kizazi cha wahongaji nacho kinapotea,ataja stuka akifika umri w bi chau

Hi hi hi wambea wenzangu mtanisaidia nikishambuliwa na timu ya bibi bomba!
 
Swala hapa ni nani zaid.. mi nashauri na wema azihariri picha zake pia makeup atumie kwa 100%
aaaahhhgggrrrr..
jamvi la wema na zari lol
 
Apart from being a mother of 3 kids, you can not compare zari to wema, they are different interms of social status and nationality, so kumfananisha wema na zari ni kumuonea wema tu

Heeeee binamu wa watu leo uko upande wa wema, mwenyewe unamuitaga mama ubaya teh teh..
 
Ktk ubora wako, Haaaaahaaaa
 
Hii ni sawa na Mwanamke aliyeolewa kujikinganisha na Mama mkwe wake...Yaan huwa nakereka sema basi tu mtu anawatoto watatu bado mnalinganisha tu.Haya linganisheni Rose muhando na Khadija kopa.

Hahaaa ndo comparison za kibongo hizo unalinganisha kitu bila kuwa Sawa kwa kila kitu inakua hai make sense kabisa ni Sawa na mizani tu .
 
Jamani Kigoma kuna shida nyingi. Waache kutusumbua watumie pesa zao kusaidia nyumbani walikotoka wazazi wao. Waache kuchezea fedha huku town. Tungefurahi kupata picha za kijijini kwao na familia zao. Wasijekuwa kama k☆××mba kafa kamwacha mzazi kijijini hoi na mwingine mjini kwenye nyumba za kupanga.
 
Sasa Idris akapost picha kama kawa....kumbe hakuichakachua....duh ilipodakwa na kuanza kuzunguka ndio wema akamuomba aifute akaichakachua na kupost ingine kwa bahati mbaya yake ilishazunguka...ndio hiyo miguu aka edit then wakamtumia airushe tena....

Yaani mikorogo na michiriI imejaaa...kumbe anachakachua picha hata za usoni kwake kudanganya. Makeup inamkataaaa...matako ya mchina

Zari ni hakunaga
 
Attachments

  • 1430754421390.jpg
    28.8 KB · Views: 427
  • 1430754435179.jpg
    40.3 KB · Views: 412
Mm nimemuona live labda alichomzid wema ni uwezo wa kufikili wote malaya sema wema malaya chipkizi

Zari labda tumfananishe na akina kim kardashian sio wema ptuuu!!!
 
Na huyu wanasema ndio anafanya global publisher anahongwa na wema na ametokea kwenye tv program yake so anakula hela ili ampaishe wema hadi anaandika upumbavu mkubwa kama vile sio mwandiahi wa habari....

Alipataje kazi huyu imelda?
 
Attachments

  • 1430754831574.jpg
    25.1 KB · Views: 328

Idris anakua mcharo jamaniii mbona hiyo picha hajaifuta ipoo ,,ila zari ana ngozi nzuri jamaniii
 
Na huyu wanasema ndio anafanya global publisher anahongwa na wema na ametokea kwenye tv program yake so anakula hela ili ampaishe wema hadi anaandika upumbavu mkubwa kama vile sio mwandiahi wa habari....

Alipataje kazi huyu imelda?

Mmmhhhh na huo unene kuvaa nguo za wazii 😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…