sweetie stone
JF-Expert Member
- Apr 12, 2014
- 417
- 95
We imelda wewe tunajua sana kuwa wema ni boss wako msituletee ushabiki mavi wenu apa mxiuuu kila siku zari zari mbona yeye hana muda na nyie? Ebu acheni uswahili au huyo mpuuzi wenu hana soko mnaona mkimuandika zari ndo mtauza mxiuuu
ki ukweli wema mzuri sana
ki ukweli wema mzuri sana
ki ukweli wema mzuri sana
niliona kwa dogie masta ata hauna mvuto yule nae ana chuki na siwema tu
Umesema kweli mkuu,ila mwenye maadili ya kiafrika asingeacha watt wake yy atafute raha huku bongo
wanasema huyo , janeti ndio huyo mnene ambaye lemutuz alisemaga yeye ndio dogi akabisha...so ndio hao hao uoni mashosti wapya wa w. Kisa kutukana watu wamepewa cheo cha ushosti.
Na dogi katika kutukana alishasemaga yeye ni chotara wa singida au shinyanga....blah blah bla
hivi nyie tunaopiga umbea hapa mnakumbuka ile sheria? Maana nimejisahau nimeropoka weeee ndio nakumbuka sasa hivi!
Tukikutana huko segerea itabidi tuulizane kama kuna member wa jf celebrities tuendeleze umbea hukohuko....
Hahahahahaa
uwe unanicall best
mwenzio ig mrekebisha tabia kanifungia kisa nilimuita mnafki,hana mungu na pathetic anamuogopa dogi kuliko ukweli halisi
kaniblock yule dada kumbe bureeee
Heeee,pole zako.Mimi huyo mrekebisha tabia nilikua namfollow zamani lakini sasa hivi naona hamna kitu.
Kwanini ulimuambia yote hayo? Ilikuwaje?
alipondea matusi wanaoyutukanana ig ila akamtetea dogi eti yuko sahihi kwa anachokifanya
nkamwambia uko bias na mnafiki na huna MUNGU maana si ktk silka ya mchamungu kua mnafki
kanifungia
Shoga nina ac yangu fake lakini kuna baadhi ya watu nikicomment wananiambia comment blocked!
Sijui tatizo ni nini!