Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Kama ni kweli hii inapaswa kuwa alarm kwa kila anayejiingiza kwenye hii kesi ya mchongo hasa wale mawakili na wanaowatuma
Hata Ndugai walianza na kuandika kwenye mitandaoWabongo fyongo, kila kilichoandikwa mitandaoni wanaamini ni kweli....
Anatamani ata amsaidie huo mfuko wa vitabuHuyo askari mtu mzima kdg kushoto,anaonekana ata kazi yake haipendi,moyoni anajisemea huyu jamaa si aachiwe tuu,
Ushahidi?Siyo kweli.Huyu jamaa yupo Hadi Sasa na kapandishwa cheo baada ya kumsukuma lissu na kuwa senior assistance commissioner of prisons(Sacp) kutoka cheo kidogo alichokuwanacho kabla ya kumsukuma lisu ambacho ni superintendet of prison.TUJIANDAE LISU WETU KUSUKUMWA ZAIDI ILI KUTAFUTA VYEO.
Kwa ndugai is different , yule ni publick figureHata Ndugai walianza na kuandika kwenye mitandao
mkuu kiswahili kimekuwa kigumu? Si wamesema Tetesi au hujasoma hapo waliposema inasemekana..?Wabongo fyongo, kila kilichoandikwa mitandaoni wanaamini ni kweli....
Chuki ni uchafu wa moyo, na maandishi yako haya yanaonyesha afya yako ya akili ina mdororo. Lissu ni mtuhumiwa acha mahakama itoe haki kama ni kunyongwa au kuachiwa. Unaonyesha chuki ya kijinga hadharani kama mtoto wa Kike wanaogombaniana bwanaSiyo kweli.Huyu jamaa yupo Hadi Sasa na kapandishwa cheo baada ya kumsukuma lissu na kuwa senior assistance commissioner of prisons(Sacp) kutoka cheo kidogo alichokuwanacho kabla ya kumsukuma lisu ambacho ni superintendet of prison.TUJIANDAE LISU WETU KUSUKUMWA ZAIDI ILI KUTAFUTA VYEO.