Tetesi: Eti yule askari aliyemsukuma Lissu pale kizimbani alishayaaga mashindano

Tetesi: Eti yule askari aliyemsukuma Lissu pale kizimbani alishayaaga mashindano

Kwa ndugai is different , yule ni publick figure
Unawezaje kujua kifo cha mtu ambaye hata jina lake hulijui na anapoishi hupajui. Hizi habari pengine ni kampeni ya ''mfumo'' ya kuwafanya watu wamsahau. Kwa jinsi watu walivyo-react alivyofanya lile tukio, mfumo unaweza kuona njia sahihi ya kumfanya asahaulike na kuishi salama ni kutunga uongo kama huu. Kwa jinsi inavyoandikwa ''eti nasikia yule askari aliyemsukuma..... '' Yaani watu hata jina hawalijui na anapoishi... Anyways naweza kuwa nipo wrong...
 
Chuki ni uchafu wa moyo, na maandishi yako haya yanaonyesha afya yako ya akili ina mdororo. Lissu ni mtuhumiwa acha mahakama itoe haki kama ni kunyongwa au kuachiwa. Unaonyesha chuki ya kijinga hadharani kama mtoto wa Kike wanaogombaniana bwana
Wewe ni magereza Nini?mbona umeharisha sana
 
Sio kweli
Jamaa aliyemsukuma Lissu alifariki wiki kwa kuchomwa na kisu maeneo ya ukonga na mwenzake alipata ajali na rafiki amekatwa mguu alipata ajali ya pikipiki
Siyo kweli.Huyu jamaa yupo Hadi Sasa na kapandishwa cheo baada ya kumsukuma lissu na kuwa senior assistance commissioner of prisons(Sacp) kutoka cheo kidogo alichokuwanacho kabla ya kumsukuma lisu ambacho ni superintendet of prison.TUJIANDAE LISU WETU KUSUKUMWA ZAIDI ILI KUTAFUTA VYEO
 
Back
Top Bottom