Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Itakua kashatembea wahuni wana malalamiko ya kuua kabisa bora wakuroge..
Member mpya unanitukana?kuwa na adabu Kwa wakubwa.Wewe ndiye bwg
sana
So what?Jeshi la magereza lina askari zaidi ya 3000
Wabongo upumbavu umewajaa sana, sasa kama tuu kumsukuma Lissu ndo afe sasa mbona huyo alitemfunga bado anadunda mtaani?
Acheni upumbavu nyie.
Hizi ndo mada mpendazo chadema, sasa mbona alitemfunga anadunda mtaani hafi anakuja kufa aliyemsukuma?
Ujinga kwenu n jambo la kawaida sana
wabongo ni wapumbavu sana
Jamii forum usipokuwa makini unalishwa sana matango pori
Majina yake yalipatikana siku hiyo hiyo, akaunti zake za social media,majina ya mtoto wake wa kike na picha zake, namba zake za simu.Unawezaje kujua kifo cha mtu ambaye hata jina lake hulijui na anapoishi hupajui. Hizi habari pengine ni kampeni ya ''mfumo'' ya kuwafanya watu wamsahau. Kwa jinsi watu walivyo-react alivyofanya lile tukio, mfumo unaweza kuona njia sahihi ya kumfanya asahaulike na kuishi salama ni kutunga uongo kama huu. Kwa jinsi inavyoandikwa ''eti nasikia yule askari aliyemsukuma..... '' Yaani watu hata jina hawalijui na anapoishi... Anyways naweza kuwa nipo wrong...
Kwan kuna mtu muda wake hautokuja?Umeambiwa muda wake unakuja. Acha kushupaza shingo
Umeona wapi Afisa mwenye Cheo cha SP (Mrakibu wa Magereza) kusindikiza Mahabuzu Mahakamani.Siyo kweli.Huyu jamaa yupo Hadi Sasa na kapandishwa cheo baada ya kumsukuma lissu na kuwa senior assistance commissioner of prisons(Sacp) kutoka cheo kidogo alichokuwanacho kabla ya kumsukuma lisu ambacho ni superintendet of prison.TUJIANDAE LISU WETU KUSUKUMWA ZAIDI ILI KUTAFUTA VYEO.
wewe ndo fyongoWabongo fyongo, kila kilichoandikwa mitandaoni wanaamini ni kweli....
wewe ndo hujui na kwao ni huko huko singida kazishazikwaUnawezaje kujua kifo cha mtu ambaye hata jina lake hulijui na anapoishi hupajui. Hizi habari pengine ni kampeni ya ''mfumo'' ya kuwafanya watu wamsahau. Kwa jinsi watu walivyo-react alivyofanya lile tukio, mfumo unaweza kuona njia sahihi ya kumfanya asahaulike na kuishi salama ni kutunga uongo kama huu. Kwa jinsi inavyoandikwa ''eti nasikia yule askari aliyemsukuma..... '' Yaani watu hata jina hawalijui na anapoishi... Anyways naweza kuwa nipo wrong...
Nimemaanisha angesema mtu fulani bin fulani kafa siku fulani, kazikwa siku fulani na kazikwa kwao hapa tena kwa uthibitisho.Majina yake yalipatikana siku hiyo hiyo, akaunti zake za social media,majina ya mtoto wake wa kike na picha zake, namba zake za simu.
Bado huu siyo uthibisho. Sana sana unaleta zile story za ''nasikia Sumbawanga kuna mganga anatengeneza radi''wewe ndo hujui na kwao ni huko huko singida kazishazikwa