Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Unamuombeaje heri shetani?Tuombeane kheri jmn
Unamuombeaje heri shetani?Tuombeane kheri jmn
Aliuawawa kwa kupigwa visu wakigombea mwanamke mitaa ya Ukonga.Anaitwa Elias Charles, babake ni mwalimu mstaafu mwenyeji wa Kiomboi Iramba mkoani Singida.Tumemzika juzi makaburi ya Kiomboi mjini.Siyo kweli.Huyu jamaa yupo Hadi Sasa na kapandishwa cheo baada ya kumsukuma lissu na kuwa senior assistance commissioner of prisons(Sacp) kutoka cheo kidogo alichokuwanacho kabla ya kumsukuma lisu ambacho ni superintendet of prison.TUJIANDAE LISU WETU KUSUKUMWA ZAIDI ILI KUTAFUTA VYEO.
ardhi ya kutosha ipo.Jeshi la magereza lina askari zaidi ya 3000
Aliuawawa kwa kupigwa visu wakigombea mwanamke mitaa ya Ukonga.Anaitwa Elias Charles, babake ni mwalimu mstaafu mwenyeji wa Kiomboi Iramba mkoani Singida.Tumemzika juzi makaburi ya Kiomboi mjini.
Jamii forum usipokuwa makini unalishwa sana matango poriAliuawawa kwa kupigwa visu wakigombea mwanamke mitaa ya Ukonga.Anaitwa Elias Charles, babake ni mwalimu mstaafu mwenyeji wa Kiomboi Iramba mkoani Singida.Tumemzika juzi makaburi ya Kiomboi mjini.
Bado wengi tu.Kama ni kweli hii inapaswa kuwa alarm kwa kila anayejiingiza kwenye hii kesi ya mchongo hasa wale mawakili na wanaowatuma
Tuoneshe picha akiwa anapandishwa cheo😃Siyo kweli.Huyu jamaa yupo Hadi Sasa na kapandishwa cheo baada ya kumsukuma lissu na kuwa senior assistance commissioner of prisons(Sacp) kutoka cheo kidogo alichokuwanacho kabla ya kumsukuma lisu ambacho ni superintendet of prison.TUJIANDAE LISU WETU KUSUKUMWA ZAIDI ILI KUTAFUTA VYEO.
Kama Mnavyoamini CCM Ikitoka Madarakani Vitatokea Vita Tz.Wabongo fyongo, kila kilichoandikwa mitandaoni wanaamini ni kweli....
iga ufeUpuuzi mtupu sasa wa Hilda
USSR
Na wale wasanii walioimba Lisu wapeleke mchakamchaks CCM,pia hawapo tena.Kama ni kweli hii inapaswa kuwa alarm kwa kila anayejiingiza kwenye hii kesi ya mchongo hasa wale mawakili na wanaowatuma
Wale wasanii walioimba Lisu wapeleke mchakamchaka CCM,wote wawali,hawapo tena.Wanaosema dua la kuku halimpati mwewe wamepotoka
LISSU ni mpango wa Mungu.✍️📌Kama ni kweli hii inapaswa kuwa alarm kwa kila anayejiingiza kwenye hii kesi ya mchongo hasa wale mawakili na wanaowatuma
View attachment 3441276
Tuanza na maana ya neno miugiza ndio utapata majibu ya swali lako.Kwahy miujiza n mtu kufa?
Kama ambavyo wa kumsokomeza walivyo wengiardhi ya kutosha ipo.
Kujipooza kwa uongo inasaidia kupunguza msongo wa mawazo.Inasadikika iko hivyo na ana siku kadhaa ametutoka kwa jinsi inavyosemwa.
JamiiCheck tusaidieni kuthibitisha.
Jibu swali wewe!Haya hao wanaotoa hizi habari mitandaoni mnaowaamini kina da mange wameingizwa chaka na AI huko mitandaoni leo....
Wewe ndiye bwgSiyo kweli.Huyu jamaa yupo Hadi Sasa na kapandishwa cheo baada ya kumsukuma lissu na kuwa senior assistance commissioner of prisons(Sacp) kutoka cheo kidogo alichokuwanacho kabla ya kumsukuma lisu ambacho ni superintendet of prison.TUJIANDAE LISU WETU KUSUKUMWA ZAIDI ILI KUTAFUTA VYEO.