Tetesi: Eti yule askari aliyemsukuma Lissu pale kizimbani alishayaaga mashindano

Tetesi: Eti yule askari aliyemsukuma Lissu pale kizimbani alishayaaga mashindano

Ben nisamehe sana. Kuna wakati nilikua sikuelewi kwanini unamuandama Freeman ila kwa yanayoendelea, Mzee ulikuwa mbele ya muda.

N;B. Mimi ni mwana CCM dam dam ninaependa siasa za ushindani.
 
Aliuawawa kwa kupigwa visu wakigombea mwanamke mitaa ya Ukonga.Anaitwa Elias Charles, babake ni mwalimu mstaafu mwenyeji wa Kiomboi Iramba mkoani Singida.Tumemzika juzi makaburi ya Kiomboi mjini.
Eeeeh, kumbe askari na mtuhumiwa wametoka sehemu moja na huenda kabila moja. Vyasaka bhana,mchaga hawezi kufanya hivyo.🥲
 
Wabongo upumbavu umewajaa sana, sasa kama tuu kumsukuma Lissu ndo afe sasa mbona huyo alitemfunga bado anadunda mtaani?
Acheni upumbavu nyie.
 
Wabongo upumbavu umewajaa sana, sasa kama tuu kumsukuma Lissu ndo afe sasa mbona huyo alitemfunga bado anadunda mtaani?
Acheni upumbavu nyie.
Hehehe wewe Atheist hata miujiza hujui maana yake.
 
Wabongo upumbavu umewajaa sana, sasa kama tuu kumsukuma Lissu ndo afe sasa mbona huyo alitemfunga bado anadunda mtaani?
Acheni upumbavu nyie.
Mungu hapangiwi we pimbi,ndio maana mzinzi anaweza kuuwawa kwa fumanizi,jambazi ataendelea kudunda.
 
Siyo kweli.Huyu jamaa yupo Hadi Sasa na kapandishwa cheo baada ya kumsukuma lissu na kuwa senior assistance commissioner of prisons(Sacp) kutoka cheo kidogo alichokuwanacho kabla ya kumsukuma lisu ambacho ni superintendet of prison.TUJIANDAE LISU WETU KUSUKUMWA ZAIDI ILI KUTAFUTA VYEO.
Honvera kwa kupandisha vyei wafu
 
Back
Top Bottom