Kumbe hakwenda na mask bar!Itakuwa maugomvi ya kwenye mabar
Ova
Kumbe hakwenda na mask bar!Itakuwa maugomvi ya kwenye mabar
Ova
Sasa si uende ,unasubiri nini hukuBora hata sasa kuenda FB kuliko huku..
Ujinga ni mwingi mnoo..
Chuki ??? Nani kaanzisha kuuwa wapinzani kwa fujo ?? Hao, Yatima na wajane unadhani mioyo yao inacheka sio !!!!!Chuki ni uchafu wa moyo, na maandishi yako haya yanaonyesha afya yako ya akili ina mdororo. Lissu ni mtuhumiwa acha mahakama itoe haki kama ni kunyongwa au kuachiwa. Unaonyesha chuki ya kijinga hadharani kama mtoto wa Kike wanaogombaniana bwana
Bado sana Mungu ana kazi na mimiKufa na wewe kwa vile katika ukoo wenu mko wengi 2000 na huna faida kwao.
Najua. Mimi nimezungumzia hawa wanaosema juu ya kufariki kwake.mbona utambulisho wake ulisha letwa humu hadi familia yake
Usitoe rushwa ili upige au usipige kura. Piga 113 kutoa taarifa za rushwaKuna jamaa alileta uzi humu juu ya alivyo fanywa na wahuni na akaandika details zote za marehemu hadi ndugu zake wa huko Singida.
Sema mods wakapita nao swaaa.
Kwani habari wewe bado unasubiri kuangalia kwenye TV!?Wabongo fyongo, kila kilichoandikwa mitandaoni wanaamini ni kweli....
Kifuu juu ya shingo!Kwa ndugai is different , yule ni publick figure
shida ni kwamba alivaa kininja japo haishindikani
Kuna thread moja hivi inayohusu familia ya mstaafu wa Nji Ile haifunguki nayoIla jeiefu skuizi nyuzi za maana wanazitia pini sijui kwanini au ndo maagizo kutoka juu.
humjui lisu vizuri mbele ya mkutano mkuu alikataa kata kata dadayake kugombea viti maalum mara ya tatu akamwambia mbili zimekutosha katafute jimboNguvu iliyo ndani ya mwana wa Mungu lissu sio ya kawaida , kwao alipozaliwa lissu ana jina wanamuita kifaru , hii sio utani anaebisha aje kama sio kweli.
Singida itaenda kutoa rais wa nchi hii, vijana fanyeni mpango wa kuanza kuoa watoto wazuri wa kisingida mtanishukuru badae, mara pa umeoa mjamba wa mh Rais mtarajiwa Lissu , hutofaidika sana ,tokana na machungu kwa nchi aliyonayo uyu Bwana ila tiyari unakua na CV nzuri
Museveni, Lukashenko , Netanyahu na etcMungu fundi