Tetesi: Eti yule askari aliyemsukuma Lissu pale kizimbani alishayaaga mashindano

Siyo kweli.Huyu jamaa yupo Hadi Sasa na kapandishwa cheo baada ya kumsukuma lissu na kuwa senior assistance commissioner of prisons(Sacp) kutoka cheo kidogo alichokuwanacho kabla ya kumsukuma lisu ambacho ni superintendet of prison.TUJIANDAE LISU WETU KUSUKUMWA ZAIDI ILI KUTAFUTA VYEO.
 
Chuki ni uchafu wa moyo, na maandishi yako haya yanaonyesha afya yako ya akili ina mdororo. Lissu ni mtuhumiwa acha mahakama itoe haki kama ni kunyongwa au kuachiwa. Unaonyesha chuki ya kijinga hadharani kama mtoto wa Kike wanaogombaniana bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…