Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

France
Belgium
Italy
Portugal

Bingwa asipotokea hapo id yangu ipigwe banned
ID yako mkuu ipo mikonono mwa Italy
Sema Italy hata mm nampa nafas wanacheza mpr safi sana na kama team..lkn siwa underestimate Denmark hata kdg wale vjn wanacheza kama team pia na ukizingatia yaliyo wakuta game ya kwnz na kupoteza game 2 za kwnz.
 
England mbovu kama hii haiwezi kufika popote, yaani inapelekwa puta na wachezaji wa timu ndogo kama Dinamo Kiev,Shaktar Donestky nk,wakibahatika kuvuka hapa Safari yao itaishia kwa Denmark
Mkuu nafikiri matokeo ndo huamua...
Ushindi wao wa goli moja moja sio mzuri kabisa.

Wakipita kwa hili goli, huko mbeleni watapata tabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…