Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Mechi ya hovyo kabisa hii!

Upotevu wa muda tu.

Hawa Ukraine washasalimu amri. Wamebaki kurukaruka tu.
 
Hawa Ukraine wananikumbusha Brasil ya 2014!

Yaani wanafungwa kizembe mno.

Hakuna hata haja ya kuendelea na mechi.
Ile Brazil ilikuwa mbovu sana kama saa yangu [emoji28] [emoji28]
Tulikuwa tunaisubiri tu itafungiwa wapi. Nakumbuka match yake ya Robo Final alipigiwa mpira mwingi sana na Chile ajabu akashinda yeye
 
Ile Brazil ilikuwa mbovu sana kama saa yangu [emoji28] [emoji28]
Tulikuwa tunaisubiri tu itafungiwa wapi. Nakumbuka match yake ya Robo Final alipigiwa mpira mwingi sana na Chile ajabu akashinda yeye
Yeah nakumbuka ile robo fainali.

Ila hawa England walionyesha potential tokea kombe la dunia 2018.
 
Toka nimeangalia mechi za euro hii ndio mechi ya hovyo kabisa utafikiri ni friendly ,Sijui Hawa Ukraine walivuka vipi
Yan hawa washenz wamewapa hii team ya waandishi wa hbr mtelezo fulan ivi..mm simuderestimate Denmark..narudia tena siwachukulii poa kbs Denmark..England sijasema hawez pita lkn Napend sana mpr wa Denmark na nasbr kuona game yao na watt wa malkia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…