Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Ni mfungaji bora? Tuna ingia fainali na hakuna mwenye record yake. Goli 5 na assist 1. Na toka Euro ianzishwe Ronaldo Ana Goli 14 na Platini wa pili ana Goli 9. Huoni kwamba ni Striker Bora zaidi michuano ya Euro?huyo Ronaldo amefanya nini kwenye hizi euro?
Mwanzoni tulikua wapi?Mtahama Sana timu ..
MmehamiA Italia tena, kipigo Ni huko huko
Bonucci, Veratti, Jorginho...Chiessa immobile insigne
Sijui niendelee au niishie hapa
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Taifa StarsMwanzoni tulikua wapi?
Let's wait until Sunday time will tell its either 90 or 120 or penalties we the three lions we are ready for the warIts coming home NOT in yours. #Italy for euro 2020#.
Ni mfungaji bora? Tuna ingia fainali na hakuna mwenye record yake. Goli 5 na assist 1. Na toka Euro ianzishwe Ronaldo Ana Goli 14 na Platini wa pili ana Goli 9. Huoni kwamba ni Striker Bora zaidi michuano ya Euro?
Maelezo haya hayajajitosheleza kwa kuondoa ubora wa CR 7 katika mashindano ya EURO.kati ya hayo magoli matano matatu ni kwa njia ya penalty na mawili ndani ya six yard sioni ubora hapo. Schick amepiga goli 5 safi kabisa za heshima huku moja lao likiwa goli bora la mashindano.
Platini amefunga magoli 9 kwenye mechi nne tu tena ndani ya mashindano mamamoja. Ronaldo hayo magoli imemchukua mechi 25 tena ndani ya michuano mi 5.
Longetivity nayo ni plus, Platini Hana Longetivity ya Ronaldo ndio maana kapitwa.kati ya hayo magoli matano matatu ni kwa njia ya penalty na mawili ndani ya six yard sioni ubora hapo. Schick amepiga goli 5 safi kabisa za heshima huku moja lao likiwa goli bora la mashindano.
Platini amefunga magoli 9 kwenye mechi 5 tu tena ndani ya mashindano mamamoja. Ronaldo hayo magoli imemchukua mechi 25 tena ndani ya michuano mi 5.
Barella donarumaBonucci, Veratti, Jorginho...
Wewe unapenda ubishiMaelezo haya hayajajitosheleza kwa kuondoa ubora wa CR 7 katika mashindano ya EURO.
Usisahau pia CR 7 amechukua EURO.
Ninapenda kuandika kifupi usipoelewa ujue haikua yako.Kwa kukusaidia, Soma post # 3,628.
Longetivity nayo ni plus, Platini Hana Longetivity ya Ronaldo ndio maana kapitwa.
Na schik Hana assist hivyo kwa sheria za Uefa Ronaldo anakuwa juu. Unless Harry Kane ama sterling afunge goli 2 ama zaidi fainali Ronaldo anakuwa Top scorer.
Kuhusu penalty hawa wamekosa kina Mbappe, Morata, Moreno, Harry Kane na wengine kibao zingekuwa rahisi kila mtu angepata. Hivyo mpe Heshima yake kwa kuwa mpiga penalty mzuri.
Funny thing Ronaldo pia ni wa pili All time kwenye Assist Euro, ana Assist 7 nyuma Ya poborsky mwenye 8.Na ndio mana akaitwa Penaldo πππ
Ile game ya jana na ijayo ya italy zitapigwa fitina balaa mpaka wanyanyue kwapa hawa.....yale yale ya 1966 full magumashi
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kama mnataka fitina hata goli la foul la Denmark halikua halali. Sheria inasema wazi timu inayoshambulia inatakiwa angalau iwe mita 1 mbali na ukuta wa timu inayokaba.Ile mechi kumbe ilikuwa na fitna hivi.
There appeared to be a second ball on the pitch during the play that Raheem Sterling won a penalty for England in extra-time.
#EURO2020 | @Goal233View attachment 1846258
Goli la mkono wa Mungu na Goli la Karne ilitosha Maradona na Argentina yake kuiondoa Uingereza katika mashindano ya Kombe la Dunia pale Azteca Stadium, Mexico (Mekiko).Kiboko yao Diego Maradona...alichowafanya world cup1986 hawatamsahau πππ hapo hata kama ni fitina iligonga mwamba
Hii sio ya kutengeneza kweli?Ile mechi kumbe ilikuwa na fitna hivi.
There appeared to be a second ball on the pitch during the play that Raheem Sterling won a penalty for England in extra-time.
#EURO2020 | @Goal233View attachment 1846258