technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Vipi wale waliojaa kwenye ile Kariakoo derby?Wakuu hivi washabiki kujaa uwanjani na hii kovid ndio chanjo imefanya kazi au?
Aaaahaaaa brazaaaaa....acha noma bhanaHaingii kwa tshabalala wa mabingwa wa Tz[emoji4]
Kwa hiki kikosi tunaua mtu first half
Inawezekana ,Kuna umiliki wanaonyeshaBado naamini Italy atafanya jambo
Na waingereza wamejua kuutumia vilivyo.Upande wa Emarson kama pazia
Wataelewa baadae wazee wa historiaNilisema mimi[emoji1369][emoji1369][emoji1369]
Its not over until its overInawezekana ,Kuna umiliki wanaonyesha
Endelea kuwapa mudaBado nawapa nafasi Italy ya kurudi mchezoni na kusawazisha