Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Kwani mimi Muingereza. Mimi Mtanzania halisi.

Huyo mkoloni namchukia sana. Bora leo kapigwa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahaaa

Imekuja kuwaje tena? Umeanza kumchukia baada ya penalties au kabla?
Mjomba ake na Rashford... Compaford bana

Malizia kinywaji ukalale πŸ˜‚ it's a game, either to fail, win or draw you've to accept both.
 
Hii kombe ilivyo angechukua Simba Yanga wangesema ni chemli ya taa bila kuangalia thamani
 
Hahahaaa

Imekuja kuwaje tena? Umeanza kumchukia baada ya penalties au kabla?
Mjomba ake na Rashford... Compaford bana

Malizia kinywaji ukalale πŸ˜‚ it's a game, either to fail, win or draw you've to accept both.
Kalale huko.

Unakaza fuvu sana.

Mmeshinda, divai mtapewa vikombe viwili au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…