Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Kuna uholanzi nao ni waafrica wenzetu
 
Huyo ni kilaza, Immobile na Insigne kwake ni wakusuasua lakini Muller na havertz ndio wachezaji wa viwango vikubwa.
Kama unaona insigne anaweza kuifikisha Italy hata robo fainali wewe ndio utakuwa kilaza wa kutupwa.
Hayo ni maoni yangu usipagawe
 
Dah, DSTV wangekua hawaonyeshi kwa hio channel mbona ningepata sababu ya kuangalizia nikiwa Bar!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…