Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Bado Italia na Spain hizi nazo zikitolewa nitafurahi Sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Team Denmark
 
Belgium atakufa mapema sana. Italy wanaupiga mwingi balaa. Wanapanda na kushuka kwa speed ya bombadear.
Austria wamewatoa jasho sembuse Hawa watoto wa mbwa Ubelgiji??? Hii game tutarajie Italia akitoka mapema ..zile game za makundi alikutana na vibonde
 
Thorgan Hazard ni mchezaji wa soka wa Ubelgiji ambaye kwa sasa anacheza kama kiungo wa kushambulia au kama winga wa klabu ya Ujerumani iitwayo Borussia Mรถnchengladbach iiliyopo ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga na timu ya taifa ya Ubelgiji. Yeye ni ndugu mdogo kwa Eden Hazard na kaka wa Kylian Hazard. Wikipedia
Dogo Yuko vizuri bonge la goli, alikuwa Chelsea kwa Sasa Yuko wapi?
 
Acha kumetetea huyu con artist hakuna kitu amefanya Jana.
 
Aha Yuko ligi ya ujerumani aise anajitahidi sana.
 
Timu imejaa wachezaji wachanga sana ndiyo maana bado haijakaa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ