Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Malizia ku update matokeo ya fainali.
Wadau wangu wa hapa jukwaani, tumekuwa wote kwenye uzi huu kwa takribani mwezi mmoja sasa, dah kila lenye mwanzo halikosi mwisho!!!

Kufika mwisho kwa michuano hii, ndio mwisho wa uzi huu, tutaendelea kukutana katika nyuzi nyingine za michezo!!

Salute kwa wote tulioshirikiana hapa!
 
EUROPEAN CHAMPIONS FOR THE FIRST TIME SINCE 1968 [emoji471]

IT'S COMING TO ROME [emoji634]

#EURO2020 #ITA #ENG
IMG_20210712_010302_674.jpg
 
Naona wametengeneza duara Kama yanga kujipomgeza,hizi timu za janja janja
 
Back
Top Bottom