Eurocentric & Deterrent Criminal Court: Kama Burundi walijitoa, mpaka sasa Tanzania imenufaikaje na uwepo wa Mahakama inayolenga viongozi wa Afrika?

Viongozi wa kiafrika ni "majanga".Unataka wafanye nini ili uone ubaya wa matendo yao dhidi ya wanyonge?
Wenzao wa Ulaya walishafikishwa huko (wa Croatia,Bosnia).Vitendo ndiyo kigezo cha kushitakiwa ama la,kamwe si rangi au asili. Unataka uhuni wanaofanya watawala wa kiafrika uendelee? Angalia DRC,CAR,Chad,Sudan,Somalia,n.k.Yanayotokea huko yanakupendeza?
Kuna faida kubwa kama nchi tunaipata.Bila hiyo mahakama "mhutu" wetu na genge lake angetufanya "kitu mbaya"sana 2020 kwani "zomea zomea" na "kataliwa kataliwa" aliyokumbana nayo wakati wa kampeni za uchaguzi zilimtia hofu na kiwewe.Angeweza "kupoteza wengi" kama alivyotamka kipindi kile cha "wajumbe" walivyosema wana imani na mtu fulani mbele ya m/kiti wa ccm aliyekuwa aki-smile 2015!
 
Mbona viongozi wa Marekani na Uingereza hawakupelekwa huko kwa jinai zilizofanyika Iraq na Afghanistan?...
 
Kama hao viongozi wanafanya makosa dhidi ya haki za binadam ina maana waachwe?
 
Mkuu

Justifications za Nyerere kuvamia Uganda ni justifications za USA na UK kuvamia Iraq,full stop!

Unategemea unizungumzie vizuri tangu lini?Always utasema hoja zangu hovyo regardless hata kama ni nzuri,maana mimi na wewe ni maadui
Uadui gani tena mkuu? Mbona mimi sina enemy humu JF?...
 
Hujui kitu CHADEMA wewe kaa kimya
 
Ili uweze kueleweka kwamba ICC inanyanyasa waafrica inabid uwe na orodha ya baadhi ya mataifa ya Afria ambayo yanaonekana kwa kias frani kufata misingi ya democrasia. Mataifa kama Ghana, kama yatalalamika kuhusu mahakama hiyo nunaweza kukuelewa. Mtoa mada unenikwaza kuona unatumia viinchi kama Burundi, Rwanda,Sudani eti wamejitoa, hivi mfano Burudi ni nchi gani ambayo mauaji ndo kwao. Viongoz wa kiafrika ni watu waajabu wanaona mahakama inawabana hivo wanapiga kelele ili waweze pata uhuru wa kufinya raia wake vizur. Hata ombi lako la Tanzania kujiondoa utalipata mda si mrefu kwa mwenendo huu. Wanajiondoa ili watekeleze uharifu vizur. Mtu anajiwekea kinga kwa manufaa ya nani kama unajua ww ni mwadilifu kinga na kujitoa kwenye mahakama haifai. Mwisho Africa ilipaswa itawaliwe miongo mingine ili watu waweze kua sawa hatuwez kujitawala wenyewe.
 
Umeandika melezo meeeeengi ambayo hayana mantiki. Kweli wewe CHADEMA
 
 
Unakunywa Savannah?

Hao wanaokununuliaga duh!

Maana Savannah hua mwanamke hanunui,hununuliwa..sasa sijui itakuaje,halafu wewe ni mtetea maCCM!

I seee!

Moshi Mjini sehem gani maana ni kwetu hapo,unakaa mtaa gani?
Ninakatisha tiketi hapa stendi kuu ya mabasi
 
Of course hiyo mahakama imebuniwa na wenyewe kuendeleza utawala wao wa dunia. Umesahau pale mahakama ilipowajibika na kutaka kukubali kuwashtaki Askari wa Marekani kwa makosa waliyofanya nje ya Marekani! Na Marekani ikapiga mkwala kwamba itawawekea sanctions majaji wa ICC na wakaufyata!
 
Wazungu wapuuzi sana
 
Alafu, kwanini nchi ambazo ni dola kamili kama Rwanda na Burundi unziita vinchi? Hauoni kama unawakosea heshima "kisiasa"?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…