The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Hebu eleza abduli wanamu-incriminate vipi..acheni kuzunguka zunguka, tiss ndio mastermind wa uovu wote huu! Hakuna cha samia wala abduli..
View: https://youtu.be/j3sXSrK1IgY?si=ciaUzrI93iD8PAfGKwa mujibu wa Evarist Chahali, mfanyakazi wa zamani wa TISS aliyeko uhamishoni Uingereza, kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Vice President Dr Emmanuel Nchimbi aliye wekwa kwenye kizuizi cha ndani (House Arrest) Yuko mahututi..
Inasemekana kama alivyokamatwa Humphrey Polepole, na Dr Nchimbi kakamatw kwa njia ileile...
Amekamatwa na kuhifadhiwa na habari za uhakika ni kuwa anapitia mateso makubwa na Kuna hatari akapoteza maisha. Ni katika wakati huo, ndipo ile barua yake ya kujiuzuru iliyoandaliwa na TEAM ABDUL mtoto wa kiume wa Samia Suluhu Hassan ikawekwa mitandaoni..
Sababu ya kuteswa ni kulazimishwa atoe taarifa muhimu ikiwemo zile taarifa nyeti za mauaji ya 29/10/2025 ambazo inasemekana Dr Emmanuel Nchimbi aliziwasilisha UN na ICC ambazo direct zinam incriminate Samia na huyo mwanae Abdul..
Kwa taarifa kamili, sikiliza video hiyo mpaka mwisho..
Wao hao wawili,kuku na kifara ga,watakosekanaje kwenye mashtaka hayo?Hebu eleza abduli wanamu-incriminate vipi..acheni kuzunguka zunguka, tiss ndio mastermind wa uovu wote huu! Hakuna cha samia wala abduli..
Kumbe hiyo TISS mkurugenzi wake (DGIS) ni nani unadhani? Ni huyo unayemjua, au siyo..?Hebu eleza abduli wanamu-incriminate vipi..acheni kuzunguka zunguka, tiss ndio mastermind wa uovu wote huu! Hakuna cha samia wala abduli..
Inashangaza !Sawa tu ..ila siyo mbaya...
Kwahiyo Mzee Warioba alipompigia simu aka confirm kuwa barua ni ya kwake kweli alikuwa chini ya Ulinzi wa Team Abdul?!!!
Hii nchi kuna watu waombe sana wakitoka madarakani wawe na watu mahiri wa kuwakingia vifua.Laa sivyo,chche tupu.Sawa tu ..ila siyo mbaya...
Kwahiyo Mzee Warioba alipompigia simu aka confirm kuwa barua ni ya kwake kweli alikuwa chini ya Ulinzi wa Team Abdul?!!!
Japokuwa kuna ukweli kwa mbaaali! Lakini vistori navyo vinaungwaungwa hivi ilimradi tu...Mbona Mzee Sinde anasema baada ya barua ile aliongea na Nchimbi, na akamthibitishia kuwa ile barua ni yake.
Sawa kusoma haujui hata picha hauoni?.Tunaweza kupata na ka clip cha kuthibitisha au tumuamini mtoa maoni?
Hakuna ushahidi..mfano wewe ni mkuu wa kituo cha polisi, mtoto wa rco akikuamrisha ukamate binti amekosana nae alawitiwe..atakayeshitakiwa ni wewe au mtoto wa rco?Wao hao wawili,kuku na kifara ga,watakosekanaje kwenye mashtaka hayo?
Sawa tu ..ila siyo mbaya...
Kwahiyo Mzee Warioba alipompigia simu aka confirm kuwa barua ni ya kwake kweli alikuwa chini ya Ulinzi wa Team Abdul?!!!
Usije shangaa Steve Nyerere yupo kwenye speed dial na payrollMbona Mzee Sinde anasema baada ya barua ile aliongea na Nchimbi, na akamthibitishia kuwa ile barua ni yake.
Thibitisha kwa vielelezo..Kumbe hiyo TISS mkurugenzi wake (DGIS) ni nani unadhani? Ni huyo unayemjua, au siyo..?
Hujui kuwa mkuu wa TISS ni Abdul mtoto wa Samia?
Achana na hawa wazushi. Hivi kuna watu bado wanamuamini huyo Chahali? Kiwanda cha uzushi? I wonderMbona Mzee Sinde anasema baada ya barua ile aliongea na Nchimbi, na akamthibitishia kuwa ile barua ni yake.