Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
cocastic baba yenu wa songea wanamuonea. Mgalatia mwenzetu mtanganyika anapitia mateso makali.
YESU Mungu wa kweli ingilia kati manzee
Tanganian mdogoee Malaria 2
adriz de mbusii
Ungetulia na kujiuliza kwa nini wanaogopa uchunguzi wa umahiri na unaoaminika?Hakuna ushahidi..mfano wewe ni mkuu wa kituo cha polisi, mtoto wa rco akikuamrisha ukamate binti amekosana nae alawitiwe..atakayeshitakiwa ni wewe au mtoto wa rco?
Sure!Na kama tukionl hili la Nchimbi litakuwa ni la kweli..
Basi uwezekano wa Lissu kuhukumiwa kifo/kunyongwa ni Mkubwa mno....pasipo kujali ni wakati gani adhabu hiyo itatekelezeka au Lah!Akaja kupata msamaha wa Raisi hata mwaka 2050 huko au kama Chama kingine tofauti na CCM kikitawala.
TISS wanamfanyia nani kazia kama siyo Sa100? Kwa taarifa yako TISS inamtumikia Rais.Hebu eleza abduli wanamu-incriminate vipi..acheni kuzunguka zunguka, tiss ndio mastermind wa uovu wote huu! Hakuna cha samia wala abduli..
Maybe alikua chini ya ulinzi, so ikamuwia akubali.Mbona Mzee Sinde anasema baada ya barua ile aliongea na Nchimbi, na akamthibitishia kuwa ile barua ni yake.
Just imagine!! Huyu mother anaweza amejigeuza mungu mtuWhat is going on??? Mbona kunatisha!!!! Makamu???
Akamalizia kuwa baadaye akampigia simu iliita bila kupokelewa.Mbona Mzee Sinde anasema baada ya barua ile aliongea na Nchimbi, na akamthibitishia kuwa ile barua ni yake.
ExactlyMaybe alikua chini ya ulinzi, so ikamuwia akubali.
Convincing. Japo kama nimemwelewa Mleta uzi, ni kuwa barua iliandikwa baada ya kuwa Emma tayari ana hali mbaya. Sasa sijui wakati naongea mzee Sinde alikuwa amepata nafuu au aliambiwa ajikazeMaybe alikua chini ya ulinzi, so ikamuwia akubali.
Hiyo ni kesho yake baada ya maamuzi ya kamati kuu. Tofauti na mleta uzima anayedai hadi barua inaandikwa tayari Emma alikuwa taabaniAkamalizia kuwa baadaye akampigia simu iliita bila kupokelewa.
Hata Lissu anajua hatapona kwenye hili.Na kama tukionl hili la Nchimbi litakuwa ni la kweli..
Basi uwezekano wa Lissu kuhukumiwa kifo/kunyongwa kwa Shinikizo La Mamlaka za juu ni Mkubwa mno ...hata akikata Rufaa bado itatupwa kwa shinikizo pia...pasipo kujali ni wakati gani adhabu hiyo itatekelezeka au Lah!Akaja kupata msamaha wa Raisi hata mwaka 2050 huko au kama Chama kingine tofauti na CCM kikitawala.
Hajui,ni mnafiki au amelewa hali ya hewa.TISS wanamfanyia nani kazia kama siyo Sa100? Kwa taarifa yako TISS inamtumikia Rais.