Evarist Chahali (JasusiTV): Dr Emmanuel Nchimbi Yuko mahututi; Taarifa kamili hii hapa

Taarifa haina tofauti yoyote na stori nyingi za vijiweni; mbaya zaidi, hayo maelezo marefu ya mazungumzo hayana uzito wowote. Ni maoni ya mtangazaji

Hili swala siyo la kufanyia kampeni ya aina yoyote.

Toa taarifa unazojuwa. Ishia hapo. Hizi stori ndefu zinavuruga kila kitu.
 
Jasusi siku hizi hana exclusive news.Nadhani vyanzo vyake kwenye kitengo vimepotea.aZamani alikuwa akitoa habari inakuwa ya uhakika.
 
Sawa tu ..ila siyo mbaya...
Kwahiyo Mzee Warioba alipompigia simu aka confirm kuwa barua ni ya kwake kweli alikuwa chini ya Ulinzi wa Team Abdul?!!!
Kwani hujiuilizi Mzee Warioba ni nani?

Nyie mnaouliza mtathibitishaji kama mleta mada anachosema ni kweli, obvious ni sawa tu na wanaojiuliza tutathibitishaji kama kweli Warioba alimpigia hiyo simu..!

Hii ni michezo tu TISS. Warioba naye ni walewale, he can not be trusted 100%....
 
Convincing. Japo kama nimemwelewa Mleta uzi, ni kuwa barua iliandikwa baada ya kuwa Emma tayari ana hali mbaya. Sasa sijui wakati naongea mzee Sinde alikuwa amepata nafuu au aliambiwa ajikaze
Au Warioba hakuongea naye. Ukweli upo na mhusika mwenyewe.
 
Hebu eleza abduli wanamu-incriminate vipi..acheni kuzunguka zunguka, tiss ndio mastermind wa uovu wote huu! Hakuna cha samia wala abduli..
Ujinga na upuuzi mtupu,kila siku kutunga habari ili tu muonekane mmeandika.Juzi hapa tukaambiwa Deo ni Muislam na mambo kibao kuhusu yeye.Hamtafanikiwa kamwe.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini hii taarifa, roho za watu sio nyepesi kiasi hicho.
Unatakiwa uamini roho sio nyepesi kwako lakini sio kwa na wafuasi wao, CCM, kama wameweza kuua watanganyika mamia kwa mamia na bado wanaponhezana na kupigiana makofi hadi sasa as if walio kufa ni panya kipi ambacho kwako unaona kugumu?
 
Wala usijiulize mara mbili jibu ni ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…