KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
sawa usijali nakuletea maembe pamoja na dunga embe! leo limenisumbua sana tokea asubuhi linataka!..😂Maembe, niletee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa usijali nakuletea maembe pamoja na dunga embe! leo limenisumbua sana tokea asubuhi linataka!..😂Maembe, niletee
Hali yqngu njema/salama kabisa nipo fiti naendelea kuwakata mijusi mikia yaoVipi wewe hali yako?
sawa usijali nakuletea maembe pamoja na dunga embe! leo limenisumbua sana tokea asubuhi linataka!..😂
Nakupenda demi dunia ingekuwa yakwangu ningekupa mchumba!..
He he heeeeNakupenda demi dunia ingekuwa yakwangu ningekupa mchumba!..
leo nakuja kukutafuna vile hujawahi kutafunwa!..😘
Nimejikuta nabubujikwa na machozi...🤣He he heeee
We kenge wa darajani hii ndiyo comment yako yenye akili tangu ujiunge JFUnaweza kukuta hii ni ID ya pili ya huyo mtajwa
Starlet inaweza simama ngapi?Evelyn Salt unapanda basi????
Hii comment imenisikitisha sana, miaka 10+ jf bado unapanda basi??
Chukua mkopo kwa Melo ununue hata starlet mkuu.
Sio hoja Bado itabaki kua Siri ya mtu mkuuKuna interface fulani, Melo akiikamilisha watu wataanza kuchangia Kwa voice note humu
Kwahiyo hakutakuwa na swala la kuanza ku-doubt kuhusu jinsia ya mtu humu maana kupitia voice notes mtaweza kusikia sauti na kujua jinsia ya mchangiaji Moja Kwa moja 🤗
Bado haitoshi. Mfano yule jamaa alie imba Masozi akichangia humu kwa voice note utajuaje kwa haraka kuwa ni mwanamme?Kuna interface fulani, Melo akiikamilisha watu wataanza kuchangia Kwa voice note humu
Kwahiyo hakutakuwa na swala la kuanza ku-doubt kuhusu jinsia ya mtu humu maana kupitia voice notes mtaweza kusikia sauti na kujua jinsia ya mchangiaji Moja Kwa moja 🤗
Ni kweli, lakini Kwa kiasi inaweza kusaidiaSio hoja Bado itabaki kua Siri ya mtu mkuu
Kuna AKILI MNEMBA/Deep seek
Hahaha......... Lakini Kwa kuanzia itasaidia sanaBado haitoshi. Mfano yule jamaa alie imba Masozi akichangia humu kwa voice note utajuaje kwa haraka kuwa ni mwanamme?
Mambo yangu waniachie mwenyewe
Intelligence is the ability to what mkuuu??????😂😂Kwani huyo bro yuko wapi? Kama anapokea simu tumpigie
Unawatesa viumbe wasio na hatiaHali yqngu njema/salama kabisa nipo fiti naendelea kuwakata mijusi mikia yao
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Mambo yangu waniachie mwenyewe
Machozi kama ya Lucas amaNimejikuta nabubujikwa na machozi...🤣