Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Sasa wewe ni wa kike au kiume? Uliyemweka hapo ni mwanamke mtanzania anayenyanyua vitu vizito...Ndo mimi sasa unanifahamu. 😁
Kama ndio wewe kweli naomba utuweke wazi kama wewe ni mwanamke au mtu mwenye jinsia 2