Evelyn Salt, after 10+ years, ni muda sahihi sasa wa kutuambia kweli

Evelyn Salt, after 10+ years, ni muda sahihi sasa wa kutuambia kweli

Evelyn Salt Bro ni mrembo kabisa.
images (18).jpeg
 
Kuna interface fulani, Melo akiikamilisha watu wataanza kuchangia Kwa voice note humu

Kwahiyo hakutakuwa na swala la kuanza ku-doubt kuhusu jinsia ya mtu humu maana kupitia voice notes mtaweza kusikia sauti na kujua jinsia ya mchangiaji Moja Kwa moja 🤗
Hii itakua nzuri sana ila sidhani kama watu wataitumia... Nadhani ingebaki hivi hivi tu kwa maana ndio inaleta ladha na shahuku kama hii ya mleta mada.
 
Back
Top Bottom