Sasa wewe ni wa kike au kiume? Uliyemweka hapo ni mwanamke mtanzania anayenyanyua vitu vizito...Ndo mimi sasa unanifahamu. π
Jitu mwitu msitu, rijali matata.....Sasa wewe ni wa kike au kiume?
Bibi wa JFFaiza ana 55 plus
πππpoa poa broNipo pabaya usipige nitakupigiaaa baadaeeeπ
Uzima wako upo kiumeni au kikikeni?Jitu mwitu msitu, rijali matata.....
Mbona unatetemeka wakati unamhoji mwanamke tena msukuma wa mwanza anayeishi darEvelyn Salt
You comment like a dude.
You post masculine.
Unabishana kibabe
Simaanishi kwamba wanawake ni weak ila kwa macho yetu ya kiJF unatiki kila box za kuwa boyish
Are u a dude, stud or just a tough lady
ππ Ila Pia haituhusu mambo private ya watu
YeahBibi wa JF
Bonge ya ngomaHii ngoma nayo imenikumbusha mbali.
Wewe mpaka miaka 10 ijayo Kuna jeni Z WATAKUDISIKASI , HUMU SAHIVI WANADISKASIWA WATU KAM, FaizaFoxy MREMBO WA MISKA YOTE, EVELINE SALTI, NA WALE AKINAMAMA WA MAKAMOMkimaliza mni discuss na Mimi π
Sana... Baby madaha huyo, alikuja na kupotea kama upepo π π , na hii ngoma nahisi ilitayarishwa na marehemu Pancho Latino.Bonge ya ngoma
Aseeh wacha niendelee kuwa jamii ya humu Insha'Allah ten yrs to come bado ntakuwa kijana naelekea utu uzima ππWewe mpaka miaka 10 ijayo Kuna jeni Z WATAKUDISIKASI , HUMU SAHIVI WANADISKASIWA WATU KAM, FaizaFoxy MREMBO WA MISKA YOTE, EVELINE SALTI, NA WALE AKINAMAMA WA MAKAMO
Anamuadimaya.Duh! Mleta mada umewaza nini mpaka ukafikia hiyo hatha ya kumchambua mwenzetu
ππππππ
Weka chati hapa tusomeNi mwanaume ashawah nitongoza πππ
NdioooUna uhakika