Evidence is now appearing indicating that the Iran Presidential Helicopter crash was an assassination

Ni watu wawilit tofauti
Sijasema kama ni mtu mmoja bali nimesema kuwa jina lina maana moja.
Najua kama kuna Rohullah Khameini na Ali Khomeini wa sasa hivi.
Ila hilo jina Khameini na Khomeini zina maana moja.
Nimezungumzia maana ya jina sio watu.
 
Mrusi haaminiki bro....
 
Kama ni hivyo basi Israel ni hatari ya kuogopa.
Israel hain haja na wanasiasa wa Iran. Huyo kapata ajalai ya kawaida tu.

Kwa Iran, Isareli inalenga kuwamaliza wanasayansi na mainjia tu. Sana sana labda na makamanda wa jeshi, lakini siyo hao wanasiasa wanaokuja na kuondoka.
 
Yaan kwamba waisrael watakusanywa tena baada ya 1948 kwa msingi upi wa kibiblia? Nyakati za mataifa zinakaribia kwisha we umebakia na conspiracy theory zako😂🤣
 
Si mnasema Kingereza sio lazima?

Kwanini auwawe? Alikuwa na kitu gani kinachowatitishia amani maswahibu wake? Ukichukulia amekuwa rais ni juzi tu hapa na ameikuta Iran tayarri imeshajitambua. Kuna faida gani wanapata hao mnaowadhania wauwaj wake
 
Ukiona rais wako anafanyiwa assassination na ikafanikiwa hilo Taifa usilisogelee
 
Kwanini auwawe? Alikuwa na kitu gani kinachowatitishia amani maswahibu wake? Ukichukulia amekuwa rais ni juzi tu hapa na ameikuta Iran tayarri imeshajitambua. Kuna faida gani wanapata hao mnaowadhania wauwaj wake
Wewe sijui ni kiumbe cha kutoka wapi.I reserve my comments.
 
Kwanini Iran inatumia chopa za mahasimu wake? Why asitumie za warusi
Hiyo chopper sijui kama ni ya Mrusi au the West mkuu,ila yes I concur with you,ingekuwa busara wasitumie vifaa vya wahasimu wao.
 
Hiyo vita wewe ndiye utakayeenda kupigana?
 
Pale ambapo unakuja na online assumption zisizo na maana. Subiris vyombo vya uchunguzi kutoka iran wafanye kazi yao, wao ndio watatoa results
Huyu jamaa hata mwanzoni ali potosha kwamba Israel imeamua kuingia vitani na Iran baada ya shambulizi la makombora kumbe ni fake news
 
Katika siku sitosahau ni Maghayo na wenzake kama 10 kutoka Mossad walipofanya mission moja ya hatari sana pale Dubai An Al Bustan Rotana Hotel wakiwa na fake passports, al-Mabhouh ambae alikuwa kiongozi wa Hamas alimalizwa kijasusi kwenye chumba cha hotel. Ilikuwa 2010 Jan 19.

Maghayo ye alikuwa ndiye kidon aliemmaliza yule mzee.
 
Hizo kauli uchwara hazimtishi beberu. Wao wajikite kwenye kuuhifadhi mwili wa marehemu waachane na jews
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…