GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tunajua ulitumia Pesa zako nyingi ulizonazo na kumpa ili azitumie kupata Kura nyingi na awe pandikizi lako ( kama mwana Yanga SC) ili umtumie Kuihujumu Simba SC yetu.
Tunajua Ahadi uliyompa ni kumpigia Chapuo kwa Mama Ili amteue Nafasi ya Ubunge au katika Sekta zingine za Ulaji na Kimaamuzi kama Asante yako Kwako kwa Kuisaidia Yanga SC yako kuwa Bingwa Msimu uliopita na Simba SC Kufungwa na Yanga SC na kupata Shida pia Kumfunga Yanga SC.
Najua muda wake Murtaza Mangungu (Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC) umeshamalizika na tayari 98% ya wana Simba SC wameshamshtukia na hawamtaki tena ila kuna Upuuzi fulani unaufanya kwa Lengo lako Maalum.
Tunajua kuwa baada ya kuona na kujua kuwa muda wake (Murtaza Mangungu) umshapita na wala hatumtaki tena sasa Wewe Kiongozi mkubwa Mstaafu nchini umeamua kutembeza Pesa kwa baadhi ya Viongozi Wanafiki na Wasaliti ndani ya Simba SC ili waupeleke huu Uchaguzi hadi Mwakani 2023 ili umtumie (Murtaza Mangungu) katika Kuihujumu Simba SC katika Mechi zake za NBC Premier League mpaka tofauti ya Alama (Gape Points) ziwe ama 8 au 10 (tofauti za zilizoko sasa) ili hata kama asipochaguliwa tena na wana Simba SC basi tayari awe ameshafikia lengo kuiweka Yanga SC yako pazuri na wawe na uhakika wa kuwa Mabingwa tena kwa Msimu huu.
GENTAMYCINE namalizia Kukuambia Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu kuwa achana kabisa na Simba SC ili nawe yasije Kukuta ya Marehemu Juma Salum (aliyekuwa Mwenyekiti wetu Msaliti Simba SC) akiwa sambamba kabisa na Katibu Mkuu wa Simba SC Marehemu Priva Mtema.
Na ukitaka kujua GENTAMYCINE napata wapi Taarifa zako za ndani ni kutoka kwa Mdogo wako Kipenzi (na mwana Yanga SC mkubwa) ambaye Wewe ndiyo huwa unapitishia kwake Siri zote za Simba SC kwenda Yanga SC akishirikiana na Mroto wa aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Yanga SC kuzifanyia Kazi na Kutuumiza Simba SC ndani na nje ya Uwanja.