Ewe Kiongozi Mkubwa Mstaafu Tanzania acha kutaka kuendelea Kumpandikiza Mwenyekiti Murtaza Mangungu ndani ya Simba SC yetu

Ewe Kiongozi Mkubwa Mstaafu Tanzania acha kutaka kuendelea Kumpandikiza Mwenyekiti Murtaza Mangungu ndani ya Simba SC yetu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tunajua ulitumia Pesa zako nyingi ulizonazo na kumpa ili azitumie kupata Kura nyingi na awe pandikizi lako ( kama mwana Yanga SC) ili umtumie Kuihujumu Simba SC yetu.

Tunajua Ahadi uliyompa ni kumpigia Chapuo kwa Mama Ili amteue Nafasi ya Ubunge au katika Sekta zingine za Ulaji na Kimaamuzi kama Asante yako Kwako kwa Kuisaidia Yanga SC yako kuwa Bingwa Msimu uliopita na Simba SC Kufungwa na Yanga SC na kupata Shida pia Kumfunga Yanga SC.

Najua muda wake Murtaza Mangungu (Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC) umeshamalizika na tayari 98% ya wana Simba SC wameshamshtukia na hawamtaki tena ila kuna Upuuzi fulani unaufanya kwa Lengo lako Maalum.

Tunajua kuwa baada ya kuona na kujua kuwa muda wake (Murtaza Mangungu) umshapita na wala hatumtaki tena sasa Wewe Kiongozi mkubwa Mstaafu nchini umeamua kutembeza Pesa kwa baadhi ya Viongozi Wanafiki na Wasaliti ndani ya Simba SC ili waupeleke huu Uchaguzi hadi Mwakani 2023 ili umtumie (Murtaza Mangungu) katika Kuihujumu Simba SC katika Mechi zake za NBC Premier League mpaka tofauti ya Alama (Gape Points) ziwe ama 8 au 10 (tofauti za zilizoko sasa) ili hata kama asipochaguliwa tena na wana Simba SC basi tayari awe ameshafikia lengo kuiweka Yanga SC yako pazuri na wawe na uhakika wa kuwa Mabingwa tena kwa Msimu huu.

GENTAMYCINE namalizia Kukuambia Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu kuwa achana kabisa na Simba SC ili nawe yasije Kukuta ya Marehemu Juma Salum (aliyekuwa Mwenyekiti wetu Msaliti Simba SC) akiwa sambamba kabisa na Katibu Mkuu wa Simba SC Marehemu Priva Mtema.

Na ukitaka kujua GENTAMYCINE napata wapi Taarifa zako za ndani ni kutoka kwa Mdogo wako Kipenzi (na mwana Yanga SC mkubwa) ambaye Wewe ndiyo huwa unapitishia kwake Siri zote za Simba SC kwenda Yanga SC akishirikiana na Mroto wa aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Yanga SC kuzifanyia Kazi na Kutuumiza Simba SC ndani na nje ya Uwanja.
 
😆😆😆
Huu Uzi kama umeurudia hivi sema msimu huu mtatafuta sana sababu lakini uhalisia ni kua timu ya Simba ni mbovu.

Je, Murtaza ndo anasababisha kocha wa viungo asiwepo?

Murtaza ndo anasababisha kocha wa magolikipa asijulikane alipo?

Je, Murtaza ndo alisababisha usajili wa wachezaji wabovu kama Okwa, Akpan, Kibu, Quattara,dejan?

Je, Murtaza ndo alosababisha john boko, nyoni na gadiel kuongezewa mikataba huku ikijulikana uwezo wao umeisha?

Mnamuonea tu Mzee wa watu yeye katiba inachomruhusu ni kufungua na kufunga tu vikao basi.
 
Jamaa hana ujasusi wowote ni anakaa tu kwenye vijiwe vya kahawa hizi ndo stori zao na akileta hapa anaonekana well informed 😆
Pamoja na kujua kuwa nakaa Vijiweni na Story zangu huwa nazitoa huko lakini bado tu 24/7 uki Log In hapa JamiiForums ni lazima Unisome GENTAMYCINE na kile nilichokiandika. Pumbavu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!
 
Hivi Muda wa Mwanyekiti si umeshapita.
Au pesa ya uchaguzi badi haijapatikana.
Umeshapita na anaendelea kubakia hapo kwa Nguvu ya Pesa za Kiongozi huyo Mstaafu mkubwa (mwenye Mapenzi yaliyopitiliza na Klabu ya Yanga) anazowapa Watu wa Kamati ya Uchaguzi ya Simba SC ili wauvute huo Uchaguzi hadi January mwakani (2023) mpaka Lengo Kuu la Kuihujumu Simba SC iwe nyuma ya Yanga SC kwa Alama (Points) hizo Kumi (10) litimie.
 
😆😆😆
Huu Uzi kama umeurudia hivi sema msimu huu mtatafuta sana sababu lakini uhalisia ni kua timu ya Simba ni mbovu.

Je Murtaza ndo anasababisha kocha wa viungo asiwepo?

Murtaza ndo anasababisha kocha wa magolikipa asijulikane alipo?

Je Murtaza ndo alisababisha usajili wa wachezaji wabovu kama Okwa, Akpan, Kibu, Quattara,dejan?

Je Murtaza ndo alosababisha john boko, nyoni na gadiel kuongezewa mikataba huku ikijulikana uwezo wao umeisha?

Mnamuonea tu Mzee wa watu yeye katiba inachomruhusu ni kufungua na kufunga tu vikao basi.
Rubbish and Nonsense.
 
Jasusi la soka[emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]nakukubali sana mkuu
Asante Mkuu na endelea Kuniamini tena kwa 100% kwani huwa sileti Jambo ambalo silijui au sina uhakika nalo.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Makolo mumechanganyikiwaaaa....
Kwahiyo hapa Unakiri kuwa kumbe hata nyie ile miaka Minne ( 4 ) kuanzia 2017 hadi 2021 mliyokuwa Mkigombana, Mkifukuzana mpaka Kuuokosa Ubingwa pia Utopolo ( Yanga SC ) mlikuwa Mmechanganyikia / Mmedata au?
 
Back
Top Bottom