3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
😃😄😀😁na chadema watalia na kusaga meno walah
Aliyebadili siku kuu ya kukusanyika lazima tumjue ni nani!!Marko :16:2
Basi, alfajiri na mapema siku ya Jumapili, walifika kaburini, jua lilipoanza kuchomoza.
Marko :16:12
Baadaye Yesu aliwatokea wanafunzi wawili akiwa na sura nyingine. Wanafunzi hao walikuwa wanakwenda shambani.
Jumapili ni siku ya kazi wanafunzi walitambua hilo ndiyo maana walienda shambani kwa ajili ya kazi za kawaida
Siku ya ibada ni moja tu iliyoamriwa na Mungu siku ya saba ya juma
Ni Lini Yesu Kristo alikuagiza mkristo kukusanyika jumapili Kwa ajili ya IBADA Takatifu?
Kwahiyo Yesu anazaliwa Ili ulewe?Mapokeo Ila Tuache Kwanza Tupumue Yesu Anazaliwa
Hapa Nina Dry Red Wine 🍷 Ile Ukipiga Glass 2
ukaweza Kutembea Ujue Wewe Umejipanga Mno
Hio ni kumbukumbu ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Yesu kama chimbuko la Imani ya UkristoKwahiyo Yesu anazaliwa Ili ulewe?
Pia najiuliza, ni nani aliyekuruhusu kusherehekea Christmas tarehe 25 December?
Ni wapi uliambiwa ni muhimu kuashimisha birthday?
Ni maagizo ya Yesu?
Kwa calenda ipi Sasa,Jumapili ni siku ya ngapi ya juma?
Kuabudu ni Kwa Roho,Kusali mda wote ni dhambi Biblia na Quran zinasema baada ya Sala tawanyikeni mkatafute riziki.
Ukisali mda wote kazi utafanya saa ngapi upate Hela ya zaka, na sadaka.
Huwezi toa zaka kama ufanyi kazi
Kwako nini maana ya kanisaUmenena vyema.
Yesu anarudi kulikusanya KANISA lile la kwanza,
Ndo sababu anawauliza, nani alikwambia kukusanyika Jumapili Kwa ajili ya IBADA?
Karibu ndugu Erythrocyte
Sijakuuliza unakusanyika wapi ?KANISA la kwanza linarudi mahala pake kujiandaa Kwa UNYAKUO.
Kuanzia 2024 na kuendelea, Kanisa Kwa maana ya mtu aliyeokoka, atatafuta kurudi na kusikiza maagizo ya Mungu na siku kuu ya kukusanyika itarudi kama awali.
Kuhusu Mimi nakusanyika wapi, nami nitakuuliza Nabii Yohana mbatizaji au Elia walikuwa wanakusanyika wapi?
KAZI yetu ni kuonya ,kukaripia na kuelekeza makanisa.
UBARIKIWE.
Sio Kila wakat ni kwa roho.Kuabudu ni Kwa Roho,
Unaweza kuwa unadrive ukaomba Kwa Roho,
Unaweza kuwa kazini, kimya kimya unaomba hata walokuzunguka wasijue,
Mimi, mara nyingi Huwa nimelala USINGIZI kabisa, lakini Roho yangu inaomba, inaabudu na kumsifu Mungu,
Lakini siku kuu ya kukusanyika, tujiulize Ilibadilika lini, na aliyebadili ni nani, na Kwa Maslahi yepi?
Yesu aliagiza kushiriki meza ya BWANA ndo kumbukukumbu, Hiyo ya kulazimisha Christmas tarehe 25 December ni nani aliyewaagiza?Hio ni kumbukumbu ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Yesu kama chimbuko la Imani ya Ukristo
Kwahiyo unatupangia mapokeo mkuu???Salam, Shalom!!
Ni Kweli, Yesu alituagiza kuwa "Tusiache kukusanyika" wapi alisema tukusanyike Jumapili?
Ibada na kutafakari neno la Mungu ni muda wote, mchana na usiku,
Na Ibada Takatifu ni Ile ifanyikayo katika Roho na Kweli.
Na Mungu hufanya KAZI muda wote, hata sasa afanya KAZI.
Mungu anakuuliza Ewe Mkristo kupitia thread hii, ni nani aliyekwambia kukusanyika Jumapili Kwa ibada takatifu?
Ukiulizwa andiko utalitoa wapi?
Ni nani aliyekuagiza kusherehekea sikukuu ya Christmas tarehe 25 December?
Unalo andiko? Ni maagizo ya Roho mtakatifu kufanya mambo hayo?
NB: Mkristo aulizwaye swali hili ni yule aliyeokoka, aliyebatizwa Kwa maji mengi na Kwa Moto wa Roho Mtakatifu, yule aaminiye juu ya karama Tano, unabii ukiwemo, aaminiye juu ya kunena Kwa lugha, aliyefunguliwa macho ya Rohoni na kuisikia sauti ya Roho mtakatifu wazi WAZI.
ANGALIZO; Hii Si mada kuhusu Ukristo kama DINI, Bali Ukristo kama IMANI juu ya Yesu Kristo na maisha matakatifu.
Karibuni.🙏
Meza ya bwana na xmass ni sherehe mbili tofautYesu aliagiza kushiriki meza ya BWANA ndo kumbukukumbu, Hiyo ya kulazimisha Christmas tarehe 25 December ni nani aliyewaagiza?
Mimi nimeshajibu!!Sijakuuliza unakusanyika wapi ?
Hebu soma kwa utulivu nilivyo kuuliza.
Na wala sijamwuliza Nabii yeyote.
Nakuuliza tena
Wewe unakusanyika lini ?
Na kwa andiko lipi ?
Wewe unakusanyika lini na kwa andiko lipi?Yesu aliagiza kushiriki meza ya BWANA ndo kumbukukumbu, Hiyo ya kulazimisha Christmas tarehe 25 December ni nani aliyewaagiza?
Mapokezi Kutoka Kwa nani?Kwahiyo unatupangia mapokeo mkuu???
Au ni lazima kufuata mapokeo yako??
Maandiko Yako wazi, na hayajabadilika.Wewe unakusanyika lini na kwa andiko lipi?