Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Wanaiabudu Jumamosi.Msabato ni mtumwa wa torati.
Ni watu wanalolitumikia andiko na sio Neno na kweli ya Mungu.
Andiko huua bali Neno la Mungu huponya
Wewe Sio Msabato, wala Mkristo.Tumeamua na huna la kufanya. Tumekuwa tukifanya miaka yote ata kabla ya kahaba Ellen G White, na freemason Joseph Smith kupotosha. Sabato ya kristo sio sawa na sabato ya watesi wake wayahudi. Hamna akili. Karibu kitimoto roast na ndizi mbili, then Bata wa kushoto.
Wasabato hamna akili. Fuatilia historia yenu utagundua ni just a cult.Wewe Sio Msabato, wala Mkristo.
Wewe ni Mwislamu.
Wasalimie ndugu zako wa Kijini utakapo enda kuswali Msikitini pale unapo Swali.
Allah aliyaumba Majini ili yamwabudu.
Mimi sio Msabato.Wasabato hamna akili. Fuatilia historia yenu utagundua ni just a cult.
Hizo zote hazina uhusiano na wasabato, ni hivi ili uwe mkristo hasa, lazima utokee kwenye apostolic succession. Nyie hamna. Ni wakatoliki pekee wanaweza kuclaim na kuprove hiyo kitu, na wanafanya kila kitu kama early church fathers katika maandishi yao walivyokuwa wanafanya. Nyie wengine ni wasindikizaji tu. Biblia ni mapokeo ya kanisa katoliki. Na sio chanzo pekee cha habari ya Mungu, mmeinvent mafundisho ya uongo mfano, sola scriptura au scriptures only, hicho kitu hakuna kwenye biblia! Biblia original imepatikana miaka 400 baadae huko, hao wakristo walikuwa wana sali vipi? Hamjiulizi? Sacred tradition! Na biblia ina vitabu 72 sio hiyo kipande chenye 66 cha kwanzia karne ya 16. Yani miaka yote zaidi ya 1000 watu wana vitabu 72 leo eti mna 66 alafu wajuaji nyinyi, tunawachora tu.Mimi sio Msabato.
Mimi ni Mkristo
Karibu uwe mwanafunzi wa Yesu Kristo.
Yeye ndiye Njia, Kweli na Uzima.
Mathayo (Mat) 28:19
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
Matendo ya Mitume 11
26 hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.
Marko (Mar) 9:41
Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu wa Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.
Ni Mtu wa Kristo.
Mimi sio Kanisa la Roman Katoriki la Rumi la huko Itaria.Hizo zote hazina uhusiano na wasabato, ni hivi ili uwe mkristo hasa, lazima utokee kwenye apostolic succession. Nyie hamna. Ni wakatoliki pekee wanaweza kuclaim na kuprove hiyo kitu, na wanafanya kila kitu kama early church fathers katika maandishi yao walivyokuwa wanafanya. Nyie wengine ni wasindikizaji tu. Biblia ni mapokeo ya kanisa katoliki. Na sio chanzo pekee cha habari ya Mungu, mmeinvent mafundisho ya uongo mfano, sola scriptura au scriptures only, hicho kitu hakuna kwenye biblia! Biblia original imepatikana miaka 400 baadae huko, hao wakristo walikuwa wana sali vipi? Hamjiulizi? Sacred tradition! Na biblia ina vitabu 72 sio hiyo kipande chenye 66 cha kwanzia karne ya 16. Yani miaka yote zaidi ya 1000 watu wana vitabu 72 leo eti mna 66 alafu wajuaji nyinyi, tunawachora tu.
Kwanza hakuna kanisa linaloitwa Romani catholic. Fuatilia. Alafu r na l mgogoro, huwezi kuelewa makubwa. Itaria? Katoriki?🤣Mimi sio Kanisa la Roman Katoriki la Rumi la huko Itaria.
Mimi ni Mkristo.
Huna ulijualo.Kwanza hakuna kanisa linaloitwa Romani catholic. Fuatilia. Alafu r na l mgogoro, huwezi kuelewa makubwa. Itaria? Katoriki?[emoji1787]
Lipo hapa kwetu igome njo ulione mkuuKwanza hakuna kanisa linaloitwa Romani catholic. Fuatilia. Alafu r na l mgogoro, huwezi kuelewa makubwa. Itaria? Katoriki?[emoji1787]
Yani we unataka kusema unalijua kanisa langu kuliko mimi?😂Huna ulijualo.
Kanisa linaitwa katoliki tu. Roman ni neno limepewa umaarufu na waingereza miaka ya 1800! Ili kujitofautisha na anglican. Lakini hakuna document official ya kanisa ina hilo neno Roman. Sababu kanisa ni la ulimwengu.Lipo hapa kwetu igome njo ulione mkuu
Mungu hakusema popote kuwa Jumamosi ndio siku ya Saba au sabatoKesho ni Jumapili,
Wakristo mnaulizwa hivi,
Ni nani aliyewambia kubadili siku kuu ya kukusanyika Kwa Ibada takatifu Kutoka Siku ya Saba ya juma yaani Jumamosi kwenda siku ya kwanza ya juma yaani Jumapili?
Uko sahihi Siku ya Saba ni yeyote mfano hapo Dubai mnafanya kazi siku sita ijumaa ndio.mnapumzika ni siku ya sabato hiyo wala hamjavunja sabato sababu Biblia ilichoagiza fanya kazi siku sita ya saba sabato Mko sahihiUnawauliza Wakristo tena.
Kwani Wasabato sio Wakristo?
Sisi huku Dubai tunakutana na kufanya ibada siku Ijumaa.
Kwakuwa ni siku ya mapumziko ya Serikali ya huku.
Ila ibada za kijumuiya na kifamilia zinafanyika siku yoyote Kanisani au Nyumbani kwa mwanajumuiya panapotokea nafasi ya muda,
Pamoja na Jumamosi.
Siku ya Saba ya juma ni Jumamosi,Mungu hakusema popote kuwa Jumamosi ndio siku ya Saba au sabato
Kasome kitabu cha Mwanzo Mungu akipumzika siku ya Saba Amri.za Mungu zinasema fanya kazi siku sita ya saba pumzika.Siku ya saba yaweza kuwa yeyote kwenye mzunguko wa kazi zako yaweza kuwa ijumaa,jumamosi,jumapili,jumatatu jumanne ,jumatano au alhamisi cha kuzingatia ni fanya kazi siku sita ya saba ni sabato. Wakristo wanaosali jumapili who sahihi hufanya kazi siku sita ya saba jumapili hupumzika na wasabato wako sahihi hufanya kazi siku sita ya saba hupumzika na wengineo wako.sahihi hufanya kazi siku sita ijumaa hupumzika nk
Siku ipi wapumzike ni uamuzi wa jamii husika wanavyokubaliana walipo
Cha kushikilia ni hapo tu pa fanya kazi siku sita ya saba ni sabato
Calendar zimekuja miaka ya karibuni tu wakati wa Kitabu cha Mwanzo hakukuweko hizi kalenda za LeoSiku ya Saba ya juma ni Jumamosi,
Iko hivyo tangu zamani hata sasa haijabadilika,
Aliyebadili ni Constantino alipoingiza upagani wao,
nenda Israel utaona.